everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Kuna vitu ukiviona lazima ustuke tu heshima kwake kwa kweli
Na utaishia kuviona kwa majirani mpka BR aondoke mtani wangu utabaki Skeleton hahahaha
Kuna vitu ukiviona lazima ustuke tu heshima kwake kwa kweli
Aiseee!!!!Mimi nimeyaona Magoli tu sijapata kuona game lote.
Bora uachike tu mtani Hamna namna bora uachike tu Hahahaha.....andaa vyako na Mimi naandaa vyangu tena sitakuhurumia tena maana sikuhizi huwa nakusamehe samehe kidogo....lol
Na utaishia kuviona kwa majirani mpka BR aondoke mtani wangu utabaki Skeleton hahahaha
aisee huyu jamaa alikua kwenye kiwango chake hatari, akisaidiana na D.Costa ingizo jipya LA Bayern nawahofia sana washika mishale wa London maana wanagame nao
mbaya zaidi jamaa katokea sub kaingia dakika ya 46 alafu dakika ya 51 ndio kaanza mauaji na dakika ya 60 kafunga ukurasa wa goli tano,
#respect
Mtani hutakii nifurahie matunda ya dunia? Vibonzo vya kesho ni bab'kubwa
Siku hizi sitaki stress najipanga kuanza kurudia game za kina Stan Collymore, fowler, McAteer, McManaman, Redknapp mpaka BR afukuzwe
Mhhh!!!! Rojo na Mc Nair out....
huyu Rojo vipi kwani?
According to LVG kwamba yuko injured....
pole sana kwa Rojo na McNair. ila Rojo anatakiwa kuwa fiti ili acheze namba tatu
Ni kweli kabisa mimi sijaelewa aliumia mechi ipi ya juzi na Southampton au?
League Cup Third Round
MAN UTD vs IPSWICH
Kickoff Time - 2200 EAT
Venue - Old Trafford, Manchester.
Live Broadcast - beIN Sports Connect,
MUTV Online.
Form guide
Manchester United : WL W L W
Ipswich Town : W LLW D
Previous Meetings
Ipswich Town 0 : 1 Manchester United
Manchester United 4 : 0 Ipswich Town
Manchester United 2 : 0 Ipswich Town
Ipswich Town 1 : 1 Manchester United
Ipswich Town 2 : 0 Manchester United
All-Time Record
Manchester United wins - 28
Ipswich Town wins - 19
Draws - 9
Team News
Manchester United
Luke Shaw, Marcos Rojo and Patrick
McNair not available. Phil Jones
unlikely to play. James Wilson and
Jesse Lingard omitted from travelling
squad.
Ipswich Town
Teddy Bishop sidelined with
hamstring injury. Ryan Fraser and
Kevin Bru expected to be available.
Dean Gerken facing late medical test.
Know the opposition
Ipswich Town FC nicknamed The
Blues, and The Tractor Boys, are a
professional football club based in
Ipswich, Suffolk, England; and were
founded in 1878 as Ipswich Town
Association Football Club at the
instigation of T.C. Cobbold of the
famed brewing family, before the
eventual merger with Ipswich Rugby
Club to form Ipswich Town Football
Club in 1888, and turning professional
in 1936. Ipswich Town play their
home games at Portman Road, and
have an intense rivalry with Norwich
City in a match termed the East
Anglian Derby, both sides having
faced each other a total of 132 times
since 1902. Although Ipswich Town
have competed in the lower leagues in
recent season, they have a proud
history - having never lost a European
tie at home - while facing the likes of
Barcelona, Real Madrid, AC Milan,
and Internazionale; being one of only
23 clubs to be crowned the Champions
of English football, apart from
winning the UEFA Cup, the FA Cup;
and being managed by two icons of
English football - Alf Ramsey and
Bobby Robson.
Historic Meetings
Manchester United's 9-0 dismantling
of Ipswich Town in 1995 still stands as
the all time Premier League record for
margin of victory.
Referee
Simon Hooper.​
Ni kweli kabisa mimi sijaelewa aliumia mechi ipi ya juzi na Southampton au?
hata mwezi wa kumi hatujafika tumeanza kuhangaika na kikosi, kikosi chetu ni chembamba mnoo, ukiangalia tuna mechi kama tano kabla ya internation break na uefa hapohapo nahisi kuna baadhi ya wachezaji watapumzishwa na kuwapa nafasi makinda, ila nina wasiwasi kwa ufinyu wa kikosi (hasa mabeki) kuna kipindi carrick atarudi nyuma.
I wish hii line up ndo ingeanza kesho, cute b natamani kesho nimuone mpenzi wangu Pereira akicheza umenitambishia sana Depay wako......lol
Kumbe wazuri wazuri na wenyewe eeeh!!!
Kama kawaida please LVG we need to win this game........I wish all the best to our players chezeni kwa bidii mpka kieleweke ....................##GGMU
Ni kweli kabisa mimi sijaelewa aliumia mechi ipi ya juzi na Southampton au?