everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
rooneeeeery10
Leo timu kubwa zote zimeanza vizuri....go on Man U ......Glory glory Man U.
rooneeeeery10
Leo timu kubwa zote zimeanza vizuri....go on Man U ......Glory glory Man U.
naomba tushinde goli nyingi leo
Let's pray....#GGMU
wadau siwaoni kabisa
Wapo kibao si unajua leo game ni nying sana......
My love Pereiraaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!! Mwaaaaaaaaa
Wahaaao!!!!! Thank you......GGMU
wadau siwaoni kabisa
Wapo kibao si unajua leo game ni nying sana......
baadae waje tushereheke ushindi
Hongeraaaaaaaaa
Asanteeeeeee mumy wangu shemeji huyoooooo!!!!!!
Tatizo umeme ndugu..
Yaani tangu saa 11 asubuhi ndio unarudi now
Ila ka hbizooo hahahaaa
hii tanzagiza kwa kweli duuuh
Umeona kitu cha Pereira bonge la free kick, leo magoli yetu yote matamu hata la Rooney lilikuwa zuri lilitaka lifanane na lile la Messi kwa Boateng....
hahahaha ulivyonitajia messi nimekumbuka goli za leo. huyu pereira anajua
Acha tu Leo mchepuko wangu amevuliwa nguo.....