Mimi nishatukana sana huko Tweeter acha tu !!! pumbavu zao Wacha tufungwe labda wataona umuhimu wa striker.......
Hahaaaa mwenzio akinyolewa.... Evelenk niliwaambia jana na mdogo wako leo pagumu
Fuuuuuuuu
Hahahhaha bora ujihukumu mwenyewe ........Leo tunacheza kigodoro chetu wenyewe mumy tushakuwa tena wateja wa Swansea ......ndo keshatuwowa hivyoooo.....lol
Leo tunabanana hapa hapa kigodoro kwa kwenda mbele
Nilichokiomba ndicho kilichotokea
Katoe sadaka ya shukrani, usipotoa siku nyingine hutajibiwa maombi yako.......
rubaman nimekupenda bure kwa kuongea ukweli huu u......mwaaaa.... kunywa kapepsi ka baridi nakuja kulipa sasahivi......Kusema kweli lately Swansea City wamekuwa wakwadu vs big 5. Mwaka jana walitugonga mechi 2, yule dogo Jefferson Mentero(leo hakucheza) kaua career ya Chambers. Nadhani ni Manchester City au Chelsea ndio waliondoka na draw walipowatembelea Swansea last season. Timu imekuwa kiboko cha vigogo kama Reli Morogoro enzi za ligi daraja la kwanza Bara.
Haaahaaahaaa
Unajua majamaa ya man u kesho hayatonicheka kwasababu ya kipigo nilichopewa Jana , sadaka nilitoa kabla ya kuanza maombi.