Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tunacheza mpira mbovu sana leo

Naona mnacheza poa sema umaliziaji ndio vile tena. Rooney sio striker, arudi namba 10 better yet awekwe benchi msimu huu hajafanya lolote zaidi ya UCL qualification. Mnaweza kusawazisha though.

Kitu kingine Swansea wamekuwa wagumuk kufungika vs big boys siku hizi.
 
85 min: Shaw drifts a pass down the line. Goal-kick to Swansea.

Share
5.40pm 17:40
84 min: Schweinsteiger hoofs a long ball into the Swansea area. It’s Fabianski’s.

Share
2m ago17:38
82 min: United are not offering much. But that doesn’t necessarily mean a grandstand finish isn’t brewing.
 
Mijamaa imefungwa lakini inatembea...

Hii huioni kwenye Man U ya Fergie...

At times as this one, I am missing that good old fella

Sidhani kama ni sawa na kulinganisha era zilizo tofauti sana.
Ni sawa na mtu aseme amemiss Man Utd ya Matts Busby.
Lets focus on the current era.
 
Swansea sasa katushinda jamani.
Mwaka jana walituchukulia point 6 mwaka huu tena wanakila dalili za kutupiga.
 
Rooney na fans mtalalamika hadi mbingu zianguke lakini ile haikuwa penati
 
daaah tushakufa hii gem

mech ya tatu mfululzo hawa swans wanatunyoa tu
_85276620_ayew_reuters4.jpg


Hi 5's all around ..... ..... ..
Nachikia Invisible Chelsick fans wameamka maana wanachema they aren't alone
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Yaani tumekuwa wateja wa Swansea kwa mara nyingine Magoli Yale Yale 2-1 tutaitwa sasa kina baba 2-1 #wasagasumu njooni tucheze kigodoro humu host mimi mwenyewe.............
 
Back
Top Bottom