fitness gani ambayo van gaal anaitaka, kwani alikua majeruhi? inamaana toka amerudi toka copa america bado hajawa fiti? kisa kachelewa kufika kambini?
This is nat fair nahisi huyu dogo atakua anajuta kuja utd for sure, maana alilazimisha sana kuja hadi alisusia mazoezi, alafu Leo hata sub anakosa.
Yeah up. ..kwasasa Backline imetulia lakini alitakiwa awepo hata Bench in case injury au performance ya kina blind na SmallingRojo alifanya uzembe akachelewa kwenda pre-season kocha akampanga Blind so far amecheza vizuri, sioni logic ya kubadilisha backline yetu kwa sasa
Yeah up. ..kwasasa Backline imetulia lakini alitakiwa awepo hata Bench in case injury au performance ya kina blind na Smalling
Leo Darmian anazungushwa kama mtoto.
Leo nipo kimya nasubiri matokeo...Msiniulizie
Nani anamzungusha? Movie za Swansea wanapita kushoto