Jonjo ni hatari sana, sio wa kumuacha
timu haipandi mbele, Rooney ndiye flop wa kipindi cha kwanza.
Rooney rooney rooney
Umetunyima magoli mawili ya waziiiiiiiiii.
Bora big fella au chicha kuliko rooney jamani.
Rooney anahitji muda wa kupumzika
Huyo mzee hana mpngo huo aaseh....Yuko Fellain anavyodaiVan Gaal atuletee strikers tena wawili.
Rooney awe option ya tatu baada ya hao wawili.
Rooney rooney rooney
Umetunyima magoli mawili ya waziiiiiiiiii.
Bora big fella au chicha kuliko rooney jamani.
Rooney anahitji muda wa kupumzika
Rooney rooney rooney
Umetunyima magoli mawili ya waziiiiiiiiii.
Bora big fella au chicha kuliko rooney jamani.
Rooney anahitji muda wa kupumzika
Huyo mzee hana mpngo huo aaseh....Yuko Fellain anavyodai
Huyu jama ameshachoka kusema kweli.Umri plus .Ametumika sanaRooney rooney rooney
Umetunyima magoli mawili ya waziiiiiiiiii.
Bora big fella au chicha kuliko rooney jamani.
Rooney anahitji muda wa kupumzika
Leo Van Gaal amemwambia Chicharito atafute timu ya kwenda.
Unless anaandaa mazingira ya kuleta world class striker.
Mechi ya leo tukifungwa au tukidraw itakuwa upuuzi na kiburi cha kocha.
Mashabiki hawambakishi huyu mzee.
Mechi ya leo tukifungwa au tukidraw itakuwa upuuzi na kiburi cha kocha.
Mashabiki hawambakishi huyu mzee.