ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,635
Adnan leo hayupo....
Good news for fellaini na herrera
Adnan leo hayupo....
Mechi ya leo ngumu sana. Hatutakiwi kupoteza hata mechi moja.
Hivi inaanza sa tisa na nusu au sa 10
Hivi inaanza sa tisa na nusu au sa 10
Ushindi lazma!timu pinza wanaombea tupoteze hata kwa bao LA mkono....
Mechi ya leo ngumu sana. Hatutakiwi kupoteza hata mechi moja.
Tunashinda mkuu, halafu leo watu wana hofu sana hadi kuingia humu wanaona shida,tunashinda wakuu na hatupotezi
Liberty Stadium Sio parahisi especially kwa #ManU kwa kipindi cja misimu miwili hii hawa jama wamekuwa wagumu kweli