Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Valdez is off to besiktas according to SSN
#allthebest
Tunamtakia safari njema huko aendapo.
Valdez is off to besiktas according to SSN
#allthebest
huyu mzee huyu sijui anatutakia nini, mwanzoni akiulizwa kuhusu striker alikua anamtaja Rooney, januzaj, Memphis, Wilson na chicharito, saiz kwa hizi mechi chache kaona hao wameshindwa Ku deliver anasema tatzo la magoli litamalizwa na fellain, kweli????? kutoka kwakina tevez, Rooney na ronaldo pale mbele hadi kuanza kumtegemea fellain?
sijajua kinachomfanya hyu mzee asi-spend ni nini, hadi kufikia sasa tumetumia £19 mill net kwa hili dirisha still anaona mbinde kutoa hela kwajili ya Kane, au griezzman ambaye ada yake ni 56 mill na ame show interest ya kuja. unamuacha Pedro unaanza kumuulizia sadio mane ( this is Liverpoolish)
Game ya juzi nilichoka watu tunatafuta goli ye anafanya sub ya beki badala ya kumtoa memphis aingie young anamtoa jambazi darmian anamuingiza kibaka valencia, alafu anaulizwa kuhusu kiwango cha Rooney anasema Rooney anafanya kile ambacho mi striker wangu nataka afanye,
ngoja tusubiri kama mdau mwingne alivowahi kusema humu point 100 goli 40.
Swala la Neymar ni uzushi tu wa media wanalipamba kama nini, na ukiangalia Barca wameshamuuza Pedro ambaye kama Neymar hayupo ndo alikuwa anacover nafasi yake,na ban walilonalo siyo rahisi Neymar kuondoka, ni kama ulivyosema agent wake anatumia jina la Man U ili dau lake lipande. Muller naye timu yake imekataa kumuuza dohh!!! Anyway tusubiri tuone.....
Hivi hii mambo ya neymar kwann watu wameikazania hivi? Kisa wakala wake kuja kucheki game OT basi ndio imekua nongwa kwa magazeti ya uingereza yakiongozwa na the sun, hivi kwa akili za kawaida barca wanaweza kumtoa kweli neema? Penyewe saiz alivokua majeruhi hapana mbadala maana Pedro wameshamuuza, Roberto nae bado anasua sua tu,
Pia wakala wake alishakataa hii taarifa:
Neymar's Agent on Utd link : "There's no
truth in it. He has three more years left
on his contract. The English press love
spreading rumours. Barcelona have never
thought of selling Neymar and he is very
happy there"
Mpaka sasa sielewi ni kitu gani kinachomfanya LVG aone "so called washambuliaji" alionao watafanya Utd itishe
Muda mwingi Utd imekuwa inafanya makosa hayo inakomalia wachezaji ambao timu zao ziko radhi wawauze wachezaji wao timu zingine ila sio Utd, matokeo yake tunawakosa na kuishia kununua wachezaji wa dakika za mwisho wa kuokoteza
Ingawa kwenye mpira lolote linaweza kutokea ila kwa washambuliaji tuliokuwa nao sasa suala la kuchukua ubingwa tuu wa EPL itakuwa ni maajabu achana na CL
Nilichoka kusikia pedro alionekana hana mchango kuliko saido mane ...tunataka kuwa kama Aston Villa sasa
Hili deal ni kwamba halijawahi kufikiriwa na Manchester United.
Ni magazeti yanatafuta kuuza kwa kutumia jina la Manchester United.
Squad ya Babu Fargie ilikuwa na shida mmoja tu nao ni katikati baada ya Roy16 kustafu midfielder yake haikutokea kuwa bora kama yakina Roy16 nick Butt scholes... Beki ya Babu ilikuwa ahueni kuanzia enzi hizo wakina Stam....Rio.....Vidic....Silvester....Brown....John Oshea...Kweli kila kocha na hobby zake. Enzi za Ferguson team yetu ilikuwa kama baunsa. Mbele ilikuwa vizuri sana ila beki ya kuokota.
Sasa hivi defence ipo vizuri ila mbele pa kuungaunga.
huyu mzee huyu sijui anatutakia nini, mwanzoni akiulizwa kuhusu striker alikua anamtaja Rooney, januzaj, Memphis, Wilson na chicharito, saiz kwa hizi mechi chache kaona hao wameshindwa Ku deliver anasema tatzo la magoli litamalizwa na fellain, kweli????? kutoka kwakina tevez, Rooney na ronaldo pale mbele hadi kuanza kumtegemea fellain?
sijajua kinachomfanya hyu mzee asi-spend ni nini, hadi kufikia sasa tumetumia £19 mill net kwa hili dirisha still anaona mbinde kutoa hela kwajili ya Kane, au griezzman ambaye ada yake ni 56 mill na ame show interest ya kuja. unamuacha Pedro unaanza kumuulizia sadio mane ( this is Liverpoolish)
Game ya juzi nilichoka watu tunatafuta goli ye anafanya sub ya beki badala ya kumtoa memphis aingie young anamtoa jambazi darmian anamuingiza kibaka valencia, alafu anaulizwa kuhusu kiwango cha Rooney anasema Rooney anafanya kile ambacho mi striker wangu nataka afanye,
ngoja tusubiri kama mdau mwingne alivowahi kusema humu point 100 goli 40.
are you sure manchester utd ina defence nzuri. ngoja akutane na timu yenye hitmen wazur kama manchester city, utafuta kauli yako na kuanza kumlilia kocha wako atafute mabeki wazuri! its too early kuconclude kuwa man utd ina outstanding defenders; the likes of darmian? smalling? jones? bracket? shaw? you must be kidding me! kubali kuwa mmekutana na timu ambazo hazina attacking potency......
Squad ya Babu Fargie ilikuwa na shida mmoja tu nao ni katikati baada ya Roy16 kustafu midfielder yake haikutokea kuwa bora kama yakina Roy16 nick Butt scholes... Beki ya Babu ilikuwa ahueni kuanzia enzi hizo wakina Stam....Rio.....Vidic....Silvester....Brown....John Oshea...
huwa nafurahi pale ninapoona wakaanga sumu mnazijua ratiba za mechi yetu kuliko muijuavo timu yenu.
Manager kama manager ana philosophy zake yeye ndie nwenye maamuzi ya mwisho katika upangaji wa timu na type ya wachezaji anaowataka kulingana na mfumo wake anaoutumiaNimemuona Roy Keane msimu wa mwisho kabisa. Sijamuona akicheza. Ila hawa managers hawaoni upungufu kama mashabiki tunavyoona?
gemu yenu dhid ya liverpool hapo september itathibitisha kauli yangu. Coutinho will surely take your entire pack of mediocre defenders to school! mark my word!