Cathode Rays
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 1,738
- 1,495
Herrera hii gemu ameingia na tension sana hajatulia flani confidence kwakiasi flani imepungua
You right mkuu....kukalia bench ukipata nafasi unataka kuji-prove.....na yellow card imemkata zaidi
But work rate yake naikubali
Kichomi cha leo ni dogo Januzaj simuoni....naona anarukaruka tu kama kindama