Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ImageUploadedByJamiiForums1440530017.494003.jpg
 
LVG asipoleta striker atupe kombe.

Huyu mzee anajeuri ya kipuuzi sana, hadi ashikiwe mabango, baada ya mechi na castle bado alikili hatasajili striker, kuna mahali nimesoma nasikia mashabiki wamepanga kukinukisha kuhusu herrera kucheza, zitaimbwa nyimbo za kumtaka kumchezesha Herrera pamoja na mabango ila haijawa specific ni kwenye mechi gani, ngoja tusubiri
Hiyo chant itakua inaimbwa FREE HERRERA

EDIT: fellain leo atacheza kama #9
 
Yeah msimu huu amesema atamtumia kama namba 9 au 10. Hii ameisema kwenye Press conference dhidi ya mechi ya leo . Kwa Mantiki hii Herrer atapata mechi chache sana kulinganisha na msimu uliopita....
 
Back
Top Bottom