Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ImageUploadedByJamiiForums1440567186.743082.jpg
 
Marouane Fellaini could be the answer to Manchester United's strike problems, according to manager Louis van Gaal.
United have struggled in front of goal this season, scoring just twice in their opening three Premier League games, one of which was a Kyle Walker own goal.
Wayne Rooney, United's top scorer last season, has been heavily criticised after failing to find the net in his last 10 matches.

Jamani hii imekaaje??
 
Hata wameshindwa kumleta Harry Kane?
Van Gaal analeta mchezo.
 
Marouane Fellaini could be the answer to Manchester United's strike problems, according to manager Louis van Gaal.
United have struggled in front of goal this season, scoring just twice in their opening three Premier League games, one of which was a Kyle Walker own goal.
Wayne Rooney, United's top scorer last season, has been heavily criticised after failing to find the net in his last 10 matches.

Jamani hii imekaaje??

Haijakaa pouwa sana, tunahitaji the specialist one,very technical and sharp stricker,hatuhitaji kupapasa pasa tena magoli.Mimi hata sielewi kinachoendelea naona nyota tu sidhani kama tutasajili tena,hata suprise tena nimeikatia tamaa sijui labda.... Ngoja tuendelee kuona
 
Suala la usajili wa Neymar nadhani linatupotezea muda na pengine linaweza kushusha moral ya wachezaji lakini kubwa zaidi naamini tunamtengenezea mkataba mnono.

Hii imekuwa ni tabia ya wachezaji wengi hasa wanapoona kuna dalili za kutopata mkataba mnono wakala anatumia mbinu ya kusema mchazaji wake anatakiwa sehemu fulani matokeo yake timu husika ukimbilia kuandaa mkataba mnono kama ilivyotokea kwa Sergio Ramos.

Naamini kabisa Neymar anataka kuitumia Manchester United ili apate mkataba mzuri,ni ajabu CEO na LvG hawajastukia tabia za wachezaji wa Spain,Ureno na Amerika ya kusini si rahisi kuondoka Spain bali kiwango kikipanda ukimbilia Barcelona au Real Madrid.Machester yafaa iangalie target nyingine na si Neymar sioni dalili hili jambo kutokea.
 
Marouane Fellaini could be the answer to Manchester United's strike problems, according to manager Louis van Gaal.
United have struggled in front of goal this season, scoring just twice in their opening three Premier League games, one of which was a Kyle Walker own goal.
Wayne Rooney, United's top scorer last season, has been heavily criticised after failing to find the net in his last 10 matches.

Jamani hii imekaaje??

huyu mzee huyu sijui anatutakia nini, mwanzoni akiulizwa kuhusu striker alikua anamtaja Rooney, januzaj, Memphis, Wilson na chicharito, saiz kwa hizi mechi chache kaona hao wameshindwa Ku deliver anasema tatzo la magoli litamalizwa na fellain, kweli????? kutoka kwakina tevez, Rooney na ronaldo pale mbele hadi kuanza kumtegemea fellain?
sijajua kinachomfanya hyu mzee asi-spend ni nini, hadi kufikia sasa tumetumia £19 mill net kwa hili dirisha still anaona mbinde kutoa hela kwajili ya Kane, au griezzman ambaye ada yake ni €56 mill na ame show interest ya kuja. unamuacha Pedro unaanza kumuulizia sadio mane ( this is Liverpoolish)
Game ya juzi nilichoka watu tunatafuta goli ye anafanya sub ya beki badala ya kumtoa memphis aingie young anamtoa jambazi darmian anamuingiza kibaka valencia, alafu anaulizwa kuhusu kiwango cha Rooney anasema Rooney anafanya kile ambacho mi striker wangu nataka afanye,

ngoja tusubiri kama mdau mwingne alivowahi kusema humu point 100 goli 40.
 
Swala la Neymar ni uzushi tu wa media wanalipamba kama nini, na ukiangalia Barca wameshamuuza Pedro ambaye kama Neymar hayupo ndo alikuwa anacover nafasi yake,na ban walilonalo siyo rahisi Neymar kuondoka, ni kama ulivyosema agent wake anatumia jina la Man U ili dau lake lipande. Muller naye timu yake imekataa kumuuza dohh!!! Anyway tusubiri tuone.....
 
Suala la usajili wa Neymar nadhani linatupotezea muda na pengine linaweza kushusha moral ya wachezaji lakini kubwa zaidi naamini tunamtengenezea mkataba mnono.

Hii imekuwa ni tabia ya wachezaji wengi hasa wanapoona kuna dalili za kutopata mkataba mnono wakala anatumia mbinu ya kusema mchazaji wake anatakiwa sehemu fulani matokeo yake timu husika ukimbilia kuandaa mkataba mnono kama ilivyotokea kwa Sergio Ramos.

Naamini kabisa Neymar anataka kuitumia Manchester United ili apate mkataba mzuri,ni ajabu CEO na LvG hawajastukia tabia za wachezaji wa Spain,Ureno na Amerika ya kusini si rahisi kuondoka Spain bali kiwango kikipanda ukimbilia Barcelona au Real Madrid.Machester yafaa iangalie target nyingine na si Neymar sioni dalili hili jambo kutokea.

Hivi hii mambo ya neymar kwann watu wameikazania hivi? Kisa wakala wake kuja kucheki game OT basi ndio imekua nongwa kwa magazeti ya uingereza yakiongozwa na the sun, hivi kwa akili za kawaida barca wanaweza kumtoa kweli neema? Penyewe saiz alivokua majeruhi hapana mbadala maana Pedro wameshamuuza, Roberto nae bado anasua sua tu,

Pia wakala wake alishakataa hii taarifa:

Neymar's Agent on Utd link : "There's no
truth in it. He has three more years left
on his contract. The English press love
spreading rumours. Barcelona have never
thought of selling Neymar and he is very
happy there"

http://www.marca.com/en/2015/08/22/...l?cid=SMBOSO34503&s_kw=facebookCM&t=582635997
 
Marouane Fellaini could be the answer to Manchester United's strike problems, according to manager Louis van Gaal.
United have struggled in front of goal this season, scoring just twice in their opening three Premier League games, one of which was a Kyle Walker own goal.
Wayne Rooney, United's top scorer last season, has been heavily criticised after failing to find the net in his last 10 matches.

Jamani hii imekaaje??

Mpaka sasa sielewi ni kitu gani kinachomfanya LVG aone "so called washambuliaji" alionao watafanya Utd itishe

Suala la usajili wa Neymar nadhani linatupotezea muda na pengine linaweza kushusha moral ya wachezaji lakini kubwa zaidi naamini tunamtengenezea mkataba mnono.

Hii imekuwa ni tabia ya wachezaji wengi hasa wanapoona kuna dalili za kutopata mkataba mnono wakala anatumia mbinu ya kusema mchazaji wake anatakiwa sehemu fulani matokeo yake timu husika ukimbilia kuandaa mkataba mnono kama ilivyotokea kwa Sergio Ramos.

Naamini kabisa Neymar anataka kuitumia Manchester United ili apate mkataba mzuri,ni ajabu CEO na LvG hawajastukia tabia za wachezaji wa Spain,Ureno na Amerika ya kusini si rahisi kuondoka Spain bali kiwango kikipanda ukimbilia Barcelona au Real Madrid.Machester yafaa iangalie target nyingine na si Neymar sioni dalili hili jambo kutokea.

Muda mwingi Utd imekuwa inafanya makosa hayo inakomalia wachezaji ambao timu zao ziko radhi wawauze wachezaji wao timu zingine ila sio Utd, matokeo yake tunawakosa na kuishia kununua wachezaji wa dakika za mwisho wa kuokoteza

huyu mzee huyu sijui anatutakia nini, mwanzoni akiulizwa kuhusu striker alikua anamtaja Rooney, januzaj, Memphis, Wilson na chicharito, saiz kwa hizi mechi chache kaona hao wameshindwa Ku deliver anasema tatzo la magoli litamalizwa na fellain, kweli????? kutoka kwakina tevez, Rooney na ronaldo pale mbele hadi kuanza kumtegemea fellain?
sijajua kinachomfanya hyu mzee asi-spend ni nini, hadi kufikia sasa tumetumia £19 mill net kwa hili dirisha still anaona mbinde kutoa hela kwajili ya Kane, au griezzman ambaye ada yake ni €56 mill na ame show interest ya kuja. unamuacha Pedro unaanza kumuulizia sadio mane ( this is Liverpoolish)
Game ya juzi nilichoka watu tunatafuta goli ye anafanya sub ya beki badala ya kumtoa memphis aingie young anamtoa jambazi darmian anamuingiza kibaka valencia, alafu anaulizwa kuhusu kiwango cha Rooney anasema Rooney anafanya kile ambacho mi striker wangu nataka afanye,

ngoja tusubiri kama mdau mwingne alivowahi kusema humu point 100 goli 40.

Ingawa kwenye mpira lolote linaweza kutokea ila kwa washambuliaji tuliokuwa nao sasa suala la kuchukua ubingwa tuu wa EPL itakuwa ni maajabu achana na CL

Nilichoka kusikia pedro alionekana hana mchango kuliko saido mane ...tunataka kuwa kama Aston Villa sasa
 
Suala la usajili wa Neymar nadhani linatupotezea muda na pengine linaweza kushusha moral ya wachezaji lakini kubwa zaidi naamini tunamtengenezea mkataba mnono.

Hii imekuwa ni tabia ya wachezaji wengi hasa wanapoona kuna dalili za kutopata mkataba mnono wakala anatumia mbinu ya kusema mchazaji wake anatakiwa sehemu fulani matokeo yake timu husika ukimbilia kuandaa mkataba mnono kama ilivyotokea kwa Sergio Ramos.

Naamini kabisa Neymar anataka kuitumia Manchester United ili apate mkataba mzuri,ni ajabu CEO na LvG hawajastukia tabia za wachezaji wa Spain,Ureno na Amerika ya kusini si rahisi kuondoka Spain bali kiwango kikipanda ukimbilia Barcelona au Real Madrid.Machester yafaa iangalie target nyingine na si Neymar sioni dalili hili jambo kutokea.

Hili deal ni kwamba halijawahi kufikiriwa na Manchester United.
Ni magazeti yanatafuta kuuza kwa kutumia jina la Manchester United.
 
Back
Top Bottom