Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Transfer imewawia ngumu kiaina Pedro na Otamendi mnaosadikika mliwataka wamekimbilia kwa rival teams.LVG atakuwa ni tatizo
 
Mheshimiwa rubaman ebu nisaidie Otamendi atacheza nafasi ya nani ?.Smailling yupo pouwa.Pedro anaweza kumweka banch Depay,Mata au Young.Man haisajili mchezaji mradi kusajili Pedro na Otamedi hawana nafasi katika kikosi cha Man labda wasubiri majeruhi.

Transfer imewawia ngumu kiaina Pedro na Otamendi mnaosadikika mliwataka wamekimbilia kwa rival teams.LVG atakuwa ni tatizo
 
Last edited by a moderator:
Transfer imewawia ngumu kiaina Pedro na Otamendi mnaosadikika mliwataka wamekimbilia kwa rival teams.LVG atakuwa ni tatizo

Hivi unajua Wenger aliwataka Zlatan, Messi, Ronaldo, Yaya, Essien na wengine kibao? Kwenye hii dunia hata wewe ni tatizo kwa baadhi ya watu
 
Roho inaniuma kiukweli..
:Ramos kusain mkataba
:Otamendi kusain MCFC
😛edro kusain CFC

Na hiv tumeshinda mech tatu za mwanz cjui km huyu mzee atasajili tena!
 
aiseee man utd hatupo serious et tunataka kumsajili mane wa nn boya huyu southamptom anakosa magoli yeye na kipa anapiga nje boring van gaal cjui anawaza nn wakati anasajili imeniuma sana kumkosa pedro moyo unaMAUMIVU BALAAA:mvutaji:
 
Mheshimiwa rubaman ebu nisaidie Otamendi atacheza nafasi ya nani ?.Smailling yupo pouwa.Pedro anaweza kumweka banch Depay,Mata au Young.Man haisajili mchezaji mradi kusajili Pedro na Otamedi hawana nafasi katika kikosi cha Man labda wasubiri majeruhi.

Angecheza CB next to Smalling, Blind si natural CB anatakiwa acheze MD
 
Last edited by a moderator:
Hiki ni kipindi cha usajili barani Ulaya,Asia,Marekani na Africa na pengine kila kona ambako soka linachezwa.Furaha kubwa kwa mashabiki wa soka huwa ni kusikia klabu yao imesajili mchezaji mpya ama yule wanayemchukia akitimka zake na kujiunga na klabu jinjine lakini linapokuja swala la klabu yao waipenda kutangaza kuwa imeeachana na mpango/imeshuindwa kumsajili nyota waliyekuwa na matumaini nae habari huwa ni tofauti sana.
Ifuatayo ni orodha ndefu ya nyota ambao bosi wa Man United bwana Ed Woodward alijaribu kutaka kuwasajili lakini mwisho wa siku akaiishiwa kuambulia maumivu ndani ya moyo wake baada ya ama kuzidiwa kete na vilabu vingine ama kushindwa kutoa pesa ya kutosha kuwashawishi nyota hao pamoja na vilabu vyao
Leighton Baines (Summer 2013)
Gareth Bale (Summer 2013)
Cesc Fabregas (Summer 2013)
Thiago Alcantara (Summer 2013)
Mats Hummels (Summer 2014)
Toni Kroos (Summer 2014)
Nicolas Otamendi (Summer 2015)
Sergio Ramos (Summer 2015)


LETS ALL LAUGH AT MAN U😀😀😀

Above all players mchezaji ambaye nilipenda atue Man United alikuwa Toni Kroos na Otamendi huyu sababu ametua kwa mpinzani wetu(Man City), Wakati wa usajili kuwakosa baadhi wa wachezaji ni vitu vya kawaida inatokea kwa kila timu sio ndio vinaanza leo ,United waliwahi kuwakosa Shearer, Batistuta, Ronaldinho huko nyuma the issue ni how timu itaweza ku-move on
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
kuna timu kila msimu inasajili wachezaji zaidi ya sita ila mafanikio "F" inaitwa loserpool. man united kumkosa pedro watu wanachonga sana

Sio kumkosa Pedro tu, ManUnited kuwasajili Depay, Morgan, Darmian, Shaw, Mata, Herera wao kwao ni kupiga kelele tu wanabadilisha maneno tu
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Sio kumkosa Pedro tu, ManUnited kuwasajili Depay, Morgan, Darmian, Shaw, Mata, Herera wao kwao ni kupiga kelele tu wanabadilisha maneno tu

tatizo wana roho za kwanini. watuache na man united
 
Angecheza CB next to Smalling, Blind si natural CB anatakiwa acheze MD

Blind ni versatile player anacheza nafasi tatu (LB,CB,DM),now tuna Carrick, Bastian na Morgan ambao wote ni DM na binafsi nawapenda wadachi tofauti na Waamerika ambao baada ya misimu 2 ataanza lilia kwenda Barca au Madrid,Otamendi ni pigo only sababu ametua kwa mpinzani wetu, City kumsajili Otamendi ni pigo kwa Chelsea, Arsenal(anaongeza miaka ya Wenger kuwa msindikizaji)
 
Kwa upande mmoja ujio wa PEDRO OT ungesaidia sana kwa upande wa mashambulizi , ana speed , nguvu kidogo na pia , ana uwezo wa kutengeneza nafasi na pia kufunga mwenyewe pia musisahau ni mchezaji mzoefu , hii huduma mmeikosa

Kwa upande wa pili kutokuja kwake ni faida kwa Vijana wenu wadogo mazao ya academy yenu

James
Adnan
Perreira

Nafasi wanazocheza hawa watoto Pedro nae anacheza , Kwa tabia ya LVG hata CM angechezeshwa pia , so its good news kwa hawa watoto na Manchester United yenu

Man United walikuwa na offensive midfielders wengi sana (Herrera, Di Maria, Pereirra, Mata, Young, Lindgard, Depay, Januzaj, Fellaini, Valencia) while DM alikuwa Carrick so usajili wa Bastian na Morgan ukaondoa kabisa tatizo la DM kwa sasa tunahitaji pure striker (no 9) like Kane, Benzema, Lewandoski,Costa mpira wa sasa pure striker wamekuwa adimu sana kupatikana
 
kuna timu kila msimu inasajili wachezaji zaidi ya sita ila mafanikio "F" inaitwa loserpool. man united kumkosa pedro watu wanachonga sana

Gundogan, Hummels, clyne, pedro, ramos, otamendi, firmino etc...
 
Mkuu umeanza kumfuatilia lini Van Gaal? Nimecheka sana hiyo kauli yako kuwa ni wachezaji wachache sana ndiyo wanaweza kufanya kazi na Van Gaal, hii sijui umeitoa wapi.

Van Gaal, ni mmoja wa makocha bora na wakubwa duniani labda uwe umeanza kumfuatilia baada ya kujiunga na Manchester United.

Ngoja nikupe kiduchu makocha waliopita kwenye mikono yake kama mwalimu, sijui kama uliwaona wakati wanacheza mpira, Guardiola,Luis Enrique, Philip Cocu, Overmars, De Boer wote wawili, Ronaldo Koemen, achilia mbali Mourinho, Rivaldo, Kluivert, Mendieta, Luca Ton, Puyol, Figo.

Vaa Gaal, kafundisha mechi zaidi ya 700.

Takujazia list ya wachezaji waliofanya nao kazi na wanaotaka kufanya nao kazi tutajaza server hapa.

Kufundisha legends na wachezaji kufanya kazi chini yake ni vitu viwili TOFAUTI.
 
endeleeni kusajili tu

ImageUploadedByJamiiForums1440082694.578790.jpg
 
Back
Top Bottom