Thomas Muller ndio habari ya mjini.
Hiyo ni kazi ya Mzee Wenger,last time ameshinda namba 1 au 2 ilikuwa lini?Naona The Rentboys wameshawapiga bao kwa PED-RO. Mngempata dogo angewapa nguvu katika safu ya ushambuliaji..Ooh well subirini kugombania fourth spot na Liverpool, Spurs May.
everleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeenk
Idimi turudishie logo la "Manchester United Hatushikiki" bana. Haipendezi mnapoanza kushikika mnatoa logo lenu, au ongeza logos za every pre-season la "tutaheshimiana & heshima itarudi" lililoanzishwa baada ya LVG kuanza kukaa benchini au sio DonDonald, Nzi, Herrera, Bulldog, Belo, everlenk et la?
Naona The Rentboys wameshawapiga bao kwa PED-RO. Mngempata dogo angewapa nguvu katika safu ya ushambuliaji..Ooh well subirini kugombania fourth spot na Liverpool, Spurs May.
Mrisho Ngasa atashinda ballon d'or kabla Muller kusign Man utd..
What about Lowassa?Inaelekea uko vizuri kwenye kutabiri........
Lol...siasa na mimi wapi na wapi??????????
Kutabiri haijalishi ni vipi si unapata maono tu kama hapo ushapata maono ya Pedro,DDG na Muller kwanini usipate ya Nchi yako,.............Tabiri basi Tanzania itachukua WC lini?
Hiyo ni kazi ya Mzee Wenger,last time ameshinda namba 1 au 2 ilikuwa lini?
Sherekea basi Pedro haji Man U, bado DDG furaha yako iwe kamili siyo?
Kwani heshima imepotea ?
Mimi binafsi swala la Pedro halijaniuma kabisaaaaaa ingawaje ningesmile kama angekuja.........tabiri tabiri tabiri tabiri tabiriiiiiii......................say no to ramli chonganishi.
Hiki ni kipindi cha usajili barani Ulaya,Asia,Marekani na Africa na pengine kila kona ambako soka linachezwa.Furaha kubwa kwa mashabiki wa soka huwa ni kusikia klabu yao imesajili mchezaji mpya ama yule wanayemchukia akitimka zake na kujiunga na klabu jinjine lakini linapokuja swala la klabu yao waipenda kutangaza kuwa imeeachana na mpango/imeshuindwa kumsajili nyota waliyekuwa na matumaini nae habari huwa ni tofauti sana.
Ifuatayo ni orodha ndefu ya nyota ambao bosi wa Man United bwana Ed Woodward alijaribu kutaka kuwasajili lakini mwisho wa siku akaiishiwa kuambulia maumivu ndani ya moyo wake baada ya ama kuzidiwa kete na vilabu vingine ama kushindwa kutoa pesa ya kutosha kuwashawishi nyota hao pamoja na vilabu vyao
Leighton Baines (Summer 2013)
Gareth Bale (Summer 2013)
Cesc Fabregas (Summer 2013)
Thiago Alcantara (Summer 2013)
Mats Hummels (Summer 2014)
Toni Kroos (Summer 2014)
Nicolas Otamendi (Summer 2015)
Sergio Ramos (Summer 2015)
LETS ALL LAUGH AT MAN U😀😀😀