Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

😉😉😉
 
Attachments

  • 1440060995519.jpg
    1440060995519.jpg
    18.4 KB · Views: 122
Kuna tetesi zisizothibitishwa kuwa Valdes alimshauri Pedro asijiunge na Manchester United. Hahahahaha Valdes bado yupo katika payrolls za Manchester United afu anawaunguzia picha mabosi wake. Kuna kitu kinachoendelea nyuma ya pazia la Manchester United, tusubiri tuone litakalotokea.

Wachezaji wachache sana ndo wataweza kufanya kazi na LVG..summer hii ishakuwa ngumu kwao, power yao katika transfer market imepungua saaaaana, summer hii mchezaji anaenda Man utd kama hana options nyingine, au hakuna clubs nyingine ambazo zinahitaji huduma ya mchezaji huyo kwa dhati...(Darmian, Bastian, morgan)..
 
Man utd fans, wanatakiwa wakubali kuwa, transfer window ya safari hii imekuwa mbaya sana, kila rival clubs zinapoingia kwenye race ya kumsign mchezaji anayetakiwa na united, suddenly kisingizio cha "kudrop interest" kinakuja, refer Clyne, Firmino, Otamendi and Pedro...one thing for sure ni kwamba Maboss (wamarekani) watakuwa wanabana kwenye wages sahiv..ndo maana deals nying zinafail, na kingine ni LVG factor...
 
kuna timu kila msimu inasajili wachezaji zaidi ya sita ila mafanikio "F" inaitwa loserpool. man united kumkosa pedro watu wanachonga sana
 
Pedro ni winger tatizo la Man ni stricker.

Tena mimi nimefurahi tu ambavyo hajaja maana angeweza kuja kuwa Flop.......Njaa kubwa sasa ya Usajili ni striker na CB only tukifanikisha hili itakuwa poa sana.
 
Man utd fans, wanatakiwa wakubali kuwa, transfer window ya safari hii imekuwa mbaya sana, kila rival clubs zinapoingia kwenye race ya kumsign mchezaji anayetakiwa na united, suddenly kisingizio cha "kudrop interest" kinakuja, refer Clyne, Firmino, Otamendi and Pedro...one thing for sure ni kwamba Maboss (wamarekani) watakuwa wanabana kwenye wages sahiv..ndo maana deals nying zinafail, na kingine ni LVG factor...
Thibitisha kwamba maboss wanabana.......source??
 
Wachezaji wachache sana ndo wataweza kufanya kazi na LVG..summer hii ishakuwa ngumu kwao, power yao katika transfer market imepungua saaaaana, summer hii mchezaji anaenda Man utd kama hana options nyingine, au hakuna clubs nyingine ambazo zinahitaji huduma ya mchezaji huyo kwa dhati...(Darmian, Bastian, morgan)..

Kumbee!!! Ings,Firmino,Benteke are better than them?.......acha kupotosha bana unajua mamilioni wanasoma hapa halafu itakuwa ni ukumbusho .........
 
Kwa upande mmoja ujio wa PEDRO OT ungesaidia sana kwa upande wa mashambulizi , ana speed , nguvu kidogo na pia , ana uwezo wa kutengeneza nafasi na pia kufunga mwenyewe pia musisahau ni mchezaji mzoefu , hii huduma mmeikosa

Kwa upande wa pili kutokuja kwake ni faida kwa Vijana wenu wadogo mazao ya academy yenu

James
Adnan
Perreira

Nafasi wanazocheza hawa watoto Pedro nae anacheza , Kwa tabia ya LVG hata CM angechezeshwa pia , so its good news kwa hawa watoto na Manchester United yenu
 
Kumbee!!! Ings,Firmino,Benteke are better than them?.......acha kupotosha bana unajua mamilioni wanasoma hapa halafu itakuwa ni ukumbusho .........
Ameshusha thamani ya mpira bila sababu...stats za morgan epl last season hazjui...za darmian hazjui hata mechi walizocheza msimu huu hajaona...poor analysis in football
 
Wachezaji wachache sana ndo wataweza kufanya kazi na LVG..summer hii ishakuwa ngumu kwao, power yao katika transfer market imepungua saaaaana, summer hii mchezaji anaenda Man utd kama hana options nyingine, au hakuna clubs nyingine ambazo zinahitaji huduma ya mchezaji huyo kwa dhati...(Darmian, Bastian, morgan)..
Mkuu umeanza kumfuatilia lini Van Gaal? Nimecheka sana hiyo kauli yako kuwa ni wachezaji wachache sana ndiyo wanaweza kufanya kazi na Van Gaal, hii sijui umeitoa wapi.

Van Gaal, ni mmoja wa makocha bora na wakubwa duniani labda uwe umeanza kumfuatilia baada ya kujiunga na Manchester United.

Ngoja nikupe kiduchu makocha waliopita kwenye mikono yake kama mwalimu, sijui kama uliwaona wakati wanacheza mpira, Guardiola,Luis Enrique, Philip Cocu, Overmars, De Boer wote wawili, Ronaldo Koemen, achilia mbali Mourinho, Rivaldo, Kluivert, Mendieta, Luca Ton, Puyol, Figo.

Vaa Gaal, kafundisha mechi zaidi ya 700.

Takujazia list ya wachezaji waliofanya nao kazi na wanaotaka kufanya nao kazi tutajaza server hapa.
 
Mkuu umeanza kufuatilia lini Van Gaal? Nimecheka sana hiyo kauli yako kuwa ni wachezaji wachache sana ndiyo wanaweza kufanya kazi na Van Gaal, hii sijui umeitoa wapi.

Van Gaal, ni mmoja wa makocha bora na wakubwa duniani labda uwe umeanza kumfuatilia baada ya kujiunga na Manchester United.

Ngoja nikupe kiduchu makocha waliopita kwenye mikono yake kama mwalimu, sijui kama uliwaona wakati wanacheza mpira, Guardiola,Luis Enrique, Philip Cocu, Overmars, De Boer wote wawili, Ronaldo Koemen, achilia mbali Mourinho, Rivaldo, Kluivert, Mendieta, Luca Ton, Puyol, Figo.

Vaa Gaal, kafundisha mechi zaidi ya 700.

Takujazia list ya wachezaji waliofanya nao kazi na wanaotaka kufanya nao kazi tujaza server hapa.

mkuu asikupe shida huyo....yuko obssessed na man utd, mshabiki wa looserfools lakini siku nzima anashinda twitter/fb kusoma updates za man utd!!!! kama si mgonjwa ni nini???!!!
 
Tena mimi nimefurahi tu ambavyo hajaja maana angeweza kuja kuwa Flop.......Njaa kubwa sasa ya Usajili ni striker na CB only tukifanikisha hili itakuwa poa sana.

ImageUploadedByJamiiForums1440072072.778977.jpg
Thidhitaki mbichi hidhiiii......! Haaa haaa ila wanaonipa raha ni wale wanaosema "mchezaji asipohusishwa na Man Utd hanunuliwi" nyambafuuuuu ili dirisha wote waliosajiliwa walihusishwa na Utd?
 
View attachment 278506
Thidhitaki mbichi hidhiiii......! Haaa haaa ila wanaonipa raha ni wale wanaosema "mchezaji asipohusishwa na Man Utd hanunuliwa" nyambafuuuuu ili dirisha wote waliosajiliwa walihusishwa na Utd?

Wewe wasema !!! Na kama wewe ni msemaji wangu poa tu.......kwani ni uongo basi? Ni kweli toka dirisha la usajili lianze kila mchezaji anasemekana kwamba MANU wanamfatilia, mwanzoni humu ndani ilikuwa mnarusha majina ya wachezaji ambao wako linked na MU vikatuni kibao,sasahivi mmeshageuka tena kwamba hawataki kuja Sababu ya LVG ,#haters mnabadilisha maneno tu, lakini poa sisi tunasonga Mbele....
 
Back
Top Bottom