Hahahahha!!! Tumemsajili leo leo kwa kazi maalum na tukamuuza kwa Spurs leo leo.....Asante mtani.
Yaani leo kocha asingempanga tu game ilikua nunge nunge hii 😀😀😀
EPL safi sana naona hata nanyi mtapewa game......kiwango cha Depay? ???? Tabiri kaka yangu naona ushakuwa Sheikh Yahya......game la kwanza tu hili usipanic
Hhaahha Chezea sisi tungemsajili mwingine tena......hhaahha. .....lini unacheza nije nikushangilie....
Ayew huyo mechi ya kwanza tu kaonyesha yy ni fundi!Jamani fundi ni fundi haiitaji mechi 10!Depay is another waste of money
Ayew huyo mechi ya kwanza tu kaonyesha yy ni fundi!Jamani fundi ni fundi haiitaji mechi 10!Depay is another waste of money
Hahaaa nina kalikizo kafupi kakutoangalia game kidogo 😎😎
MONTERO>>Depay