one cater
JF-Expert Member
- Jun 10, 2014
- 368
- 153
Huyo ndomaana wenzake wakina carrick walimwacha spurs, na miguu yake ya glass
Mbona kiwango tu!!! Acheni hizo kumpa presha zisizo na tija.....
Mtani....umeichoka liver kiasi hiki?
Akija Pedro, mtampeleka akacheze wapi?? Manake leo naona mmemchezesha number 10, and it seems LVG loves Ashley Young, so kama dogo akiendelea kuchezeshwa number 10 hiyo, ile potential yake yooote inakufa..ili ashine, Ashley Young SHOULD BE DROPPED, kama akija Pedro..depay and pedro kwenye wings, and Mata behind Rooney.....
Haha mweeee kesho nitaangalia sababu ya new signs hasa frimino
Ayew huyo mechi ya kwanza tu kaonyesha yy ni fundi!Jamani fundi ni fundi haiitaji mechi 10!Depay is another waste of money
Depay anapendeza akiwa left wing, Mata at CAM, kama Pedro akija ni kweli kutakuwa na ugumu kwa Young ndo maana kabla hajasaini mkataba tulisikia tetesi nying juzi Kati kwamba ataondoka...kikubwa mechi ni nyingi sana za kucheza Young hawezi kuwa dropped, kwa mechi ya leo LVG kumtoa Depay haikuwa njema sana......Dogo Depay yuko njema sana na kama Pedro atakuja nasi tunaweza kuwa na kautatu katakatifu......duh!! Barca wenyewe wanatubania kishenzi.

Rooney best perfomance yake imekwisha hata lile goli ni kama kashfa kwake tu...rvp na chicharito lazma tuwamiss tuStriking force yetu butu, i find blind ok in that position, Rooney kapoteza mentality ya kua last man. Anarudi deep sana.
Baada ya game ya jana nimeona ManUnited tunahitaji sana striker namba 9,Rooney ameshasahau kabisa kucheza striker.Kwenye defence tumecheza vizuri hasa (Romero,Darmian na Smalling) tunahitaji sana striker kuliko beki (Rojo,Blind) wanaweza kucheza na Smalling tuombee tusipate majeruhi.Kwa sasa bila striker ningependa kila game Herrera aanze sababu huyu ni kiungo anayefunga magoli,Ashley Young aanze benchi
Striking force yetu butu, i find blind ok in that position, Rooney kapoteza mentality ya kua last man. Anarudi deep sana.
Mkuu nimeshindwa kuweka link. naomba ni pm namba yako nikutumie whaatsap