Go Go go Man U
Update plz
Jaribuni hii : Watch Live Manchester United vs Tottenham
Tumefunga goal moja Lakin wamejifunga
msimu huu mmeanza kwa kucheza mpira wenu wa zamani(high tempo football ). Anyway huwa mnacheza vizuri na hili tawi lenu OT
msimu huu mmeanza kwa kucheza mpira wenu wa zamani(high tempo football ). Anyway huwa mnacheza vizuri na hili tawi lenu OT
Spurs nao wamezidi kurudisha mipira nyuma bhana. Hawajiamini wanapokuwa na mpira. Sioni namna wanavyoweza kupata goli. United mshindwe wenyewe....
Top four 2015/2016:
1.Liverpool FC
2.Manchester United FC
3.Chelsea FC
4.Arsenal FC
Mje kunibishia May 2016!
Top four 2015/2016:
1.Liverpool FC
2.Manchester United FC
3.Chelsea FC
4.Arsenal FC
Mje kunibishia May 2016!
My kaka mtakie dadaako heri zote.....