Papupi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,029
- 3,245
Iko hivi...Johnstone, Smalling,Blind, Shaw,Darmian, Depay, Mata, Carrick,Young, Schneider ,Rooney
Formation mama??
Iko hivi...Johnstone, Smalling,Blind, Shaw,Darmian, Depay, Mata, Carrick,Young, Schneider ,Rooney
Formation mama??
Harry caaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaane.
Lineups
20 romero
Darmian 36
Smalling 12
Blind 17
Shaw 23
Schneiderlin 28
Carrick 16
Mata 8
Depay 7
Young 18
Rooney
Kama ni kweli kimekaa vizuri, waje tu.
Ni kweli hatuna CB but van g asijetuletea simanz tena msimu huu. Tumeonewa sana, tumedhalilishwa sana, tumesikitishwa na matokeo mengi yaliyopita.
Msimu huu tunataka heshima irudi mahala pake.
Over
Romero siyo mbaya kwa kweli kuna wakati huwa anafanya amazing fulani,nami kuna mahali nimeona first eleven yetu GK atakuwa Johnstone Ngoja tusubir ile ya official line up.
Tunatakiwa kufungwa mechi moja na tushinde mechi 9.
United: Romero; Darmian, Smalling, Blind,
Shaw; Carrick, Memphis, Schneiderlin; Mata,
Rooney, Young. Subs: Johnstone, Valencia,
McNair, Schweinsteiger, Herrera, Pereira,
Hernandez.
Namuona LvG ameanza kua anapanga timu vzr!