Tatizo lipo kwa blind kucheza beki ya kati
Option nyingi sahz labda huko mbele wakishaanza kuteguliwa. Epl nayo huwa haina dhamana.
Let's have a Faith with him,ni leo tu Rojo akiwa fit atarudi nafasi yake.
Ni kweli lkn ukiangalia alivyopanga kikosi na sub pia utaona timu ina uhai kote kote.
Mkuu huu mfumo wa 4:2:3:1 unauonaje utaleta matunda mazuri kweli?
Wakuu mwenye link yeyote ambayo naweza kungalia mechi online please ATUME maana sisi huku tanesco wameshafanya yao
Jamani live stream please