Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mechi ya kwanza kufungua Pazia la Ligi kuu England ManU Vs Tottenham.. Vuta pumzi..!!

Wajewajewaje Totten bao mbili tu zinawahusu.

#Hbd Van "Goal" #Together we can!!!

BACK TANGANYIKA

Hatuna sababu za kutoshinda game yyte kwa sasa. Tukishindwa ni kuwa LvG kazidiwa mbinu na si ufinye wa kikosi kama ilivyokuwa last season.
Natarajia makubwa sana kwa sasa van g asitulet down.
 
Tunaelekea kuanza msimu wa 2015/16;
-Hatuna CB wa kueleweka na mustakabali wa DeGea haujajulikana. Sidhani kama huu msimu ni mtu wa kutumainiwa sana, ingefaa angeondoka tujue moja.
-Ndo msimu wa LVG ku-deliver, wana wa united hawatavumilia makosa ya kizembe. Hasa maswala ya kujaribu mifumo, ameshakaa vya kutosha. Akivurunda nadhani Ed Woodward hata mvumilia.
-Ndo msimu unaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa United hasa baada ya kurudi kwenye Champions League. Wanataka kuona team yao inafanya vyema kwenye UCL.

Ni kweli hatuna CB but van g asijetuletea simanz tena msimu huu. Tumeonewa sana, tumedhalilishwa sana, tumesikitishwa na matokeo mengi yaliyopita.
Msimu huu tunataka heshima irudi mahala pake.
Over
 
Mechi ya kwanza kufungua Pazia la Ligi kuu England ManU Vs Tottenham.. Vuta pumzi..!!

Wajewajewaje Totten bao mbili tu zinawahusu.

#Hbd Van "Goal" #Together we can!!!

BACK TANGANYIKA

Niungane nawe kumtakia heri LVG nategemea ataifurahia vyema kwa kuifunga Spurs....
 
Attachments

  • 1439020535723.jpg
    1439020535723.jpg
    25.7 KB · Views: 115
Our fellow Londoners, Tottenham, msituangushe leo....hahahaha
 
kweli mdau romero yupo ila wanadaia hajadaka muda mrefu nasikia dogo Johnstone ataanza leo

Romero siyo mbaya kwa kweli kuna wakati huwa anafanya amazing fulani,nami kuna mahali nimeona first eleven yetu GK atakuwa Johnstone Ngoja tusubir ile ya official line up.
 
Golini asimame Romero pale kwa jones weka Chris, spurs atakufa vizuri japo nina mashaka na mahaba ya LVG kwa Blind yanaweza mcost
 
Blind ni mzuri kuliko Jones kwakuwa ana uwezo wa kuanzisha mashambali vyema,yuko comfortable na mpira.Soka la LvG anataka aina ya wachezaji wenye uwezo wa kukaa na mpira.

Wasiwasi wangu me kwa blind ana nguvu, ana kasi, sio mzuri juu, naomba ampange kwa leo tu koz anasema Rojo ayuko fit inavyotakiwa, ila game zijazo atuwekee Rojo
 
Back
Top Bottom