dont trust any 1
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 250
- 207
Source gani wakati hyo press conference mi nimeisikiliza yote.
Sasa uwongo vipi??
ok shida yako we nn maana sikuelewi. ishu ya de gea na di maria van gaal kaongelea tofauti tofauti sio kama unavoongea wewe. nipe source of your information then mi naandika alichokisema kwa wote wawili
Wewe ni victim wa manure fever
kuhusu de gea
~ "You will have to wait
and see shall not play, so I don't
have any concerns. You know that we still have
problems with De Gea.
~kuhusu di maria alivoulizwa
~ it is a big loss because I
want attackers with speed and creativity. He
is one of those players. We have to look for
that kind of player."
Depay kajitikwa mzigo
Pepo linaloikumba Jezi namba 7 lishindwe na lilegee na kutokomea kabisa,kwa Depay likae naye mbali kabisa,wote tuseme Amen......
Pepo linaloikumba Jezi namba 7 lishindwe na lilegee na kutokomea kabisa,kwa Depay likae naye mbali kabisa,wote tuseme Amen......
Unawekaje habari bila source sasa....??Ukitaka source utapewa
anataka namba 7. huyo bastian anataka namba 31 au?