Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ma-haters naona mnachukia kuona jua kuchomoza kwetu wakati kwenu linazidi kuzama kama mpo pluto. Nipo active hapa kwa sana hata kabla ya kumpiga Chelsea juzi. Nafurahia kuona baadhi yenu mmeanza kuona jinsi gani LVG anavyoshindilia kapu la pension lake. Nakapanya aliwaambia juzi juzi kuwa LVG anawalostisha mkamjia juu lakini jinsi siku zinavyozidi kwenda wengine wanaanza kukubaliana na Nakapanya

CC everlenk, DonDonald
Si muende kwenye majukwaa yenu mtuachie team yetu wenyewe tujadili...wewe team yako nzuri ila kutwa kuja kwa mwenye team mhovu...
 
Si muende kwenye majukwaa yenu mtuachie team yetu wenyewe tujadili...wewe team yako nzuri ila kutwa kuja kwa mwenye team mhovu...

Sio kwamba jamaa anawadiss jamaa ansema kweli mze anawalostisha
 
Kinachowafelisha ni kutotambua source ya tatizo la kuvurunda mnajipa moyo kwa kudai mkisajiri mambo yatakua Sawa nakumbuka last season mlisema haya haya so Leo mnadai ya last season mnasahau tatizo ni LVG

Kweli kabisa tatizo ni LVG ndomaana akaitoa man utd toka nafasi ya 7 mpaka ya 4 😛😜😝😋
 
Di maria anasema et psg ni team kubwa kuliko man u kumbe ni mjinga sana...

Ukweli unabaki kua Di Maria anaenda PSG kucheza mpira akiwa na furaha amini kua alikuja Man U kwa sababu FFP waliwabana PSG msimu uliopita kumsajili uyu dogo ila chaguo lake lilikua PSG toka msimu uliopita na mpira nu kazi lazima uifanye ukiwa na furaha,naheshimu mawazo ya Di Maria maana yale ni maisha yake kama anaamini Utd ni timu ndogo ni sawa pia.
 
3 match ban kwa mchezaji yeyote premier league who caught diving
 
Attachments

  • 1438850265190.jpg
    1438850265190.jpg
    26.8 KB · Views: 138
My United 11 against Tottenham Saturday 8th August, 16:45hrs

1. David de Gea (hopeful jumamosi yupo)
2. Matteo Darmian
3. Luke Shaw
4. Daley Blind
5. Chris Smalling
6. Morgan Schneirderlin
7. Juan Matta (though ningependa acheze nyuma ya Roo)
8. Bastian Schwein (japo namuona Carra akianza)
9. Wayne Rooney
10: Memphis (though ningependa atokee kushoto ampishe Mata kati nyuma ya Roo)
11. Ashley Young
 
Kinachowafelisha ni kutotambua source ya tatizo la kuvurunda mnajipa moyo kwa kudai mkisajiri mambo yatakua Sawa nakumbuka last season mlisema haya haya so Leo mnadai ya last season mnasahau tatizo ni LVG

Umejikanyaga mwenyewe yaani Moyes kaikuta team ipo juu akaipeleka No.7, LVG kaitoa team No.7 mpaka No.4 then unasema LVG ndio tatizo kivipi labda?
 
MAN UTD,BARCELONA AGREE PEDRO DEAL

A £22.3 million (€32m) fee has been agreed between the two clubs, but the Catalans are keen for the forward to stay with them until after the Uefa Super Cup next Tuesday

288646_specials.jpg
By Kris Voakes & Ignasi Oliva
Manchester United and Barcelona have reached agreement over the transfer of Pedro, but the Champions League holders are keen to retain the player until after next week's Uefa Super Cup.

The two sides have settled on a transfer fee of £18.1 million (€26m) initially, with a potential further £4.2m (€6m) to be paid in variable bonuses.

But the European champions face Europa League winners Sevilla in the traditional season curtain-raiser in Tbilisi on Tuesday, and want to be able to call upon Pedro to play a part.

Lionel Messi and Neymar have only recently returned from an extended break following their Copa America commitments, and neither is likely to play a full 90 minutes in the Super Cup clash.

As a result Pedro is likely to play a significant role before finalising a move to Old Trafford, meaning United will begin the Premier League season against Tottenham on Saturday without the 28-year-old in the squad

Manchester United and Barcelona News: Pedro fee agreed ahead of summer transfer - Goal.com
 
Thanks for the info bro. Our beloved EPL season is here. Come on United.
 
David de gea, Marcos rojo na Bastian wote kesho hawachezi, inamanisha blind atacheza kama CB. hahaaaaa golini atakuwepo johnstone

upande wa uefa play off tutacheza na club brugge
 
And Wenger may have finally landed his top target with reporter Emanuele Giulianelli stating that the striker has signed a four-year deal with Arsenal worth £120,000-a-week.
 
David de gea, Marcos rojo na Bastian wote kesho hawachezi, inamanisha blind atacheza kama CB. hahaaaaa golini atakuwepo johnstone

Kaka yangu wee!! Nimechoka mimi nikasema ngoja nimsubiri reporter wetu anishushie ile press conference kumbe nawe hadi umesikia uvivu....juzi kulikuwa na kamjadala fulani je Blind anapendelewa na LVG au ?.....so GK atakuwa nani sijakupata vile?
 
Back
Top Bottom