ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,248
- 1,745
ndoto za hangover
tena ya pombe haram ............
ndoto za hangover
#Haters tumewazoea na maneno yenu mingi mingi....hiyo ni notification tu kwamba haondoki,juzi si mlikuwa mnatucheka kwamba wachezaji wanatukimbia kina Young,DDG,ADM leo umeshageuza tena sentensi amaaaaa!!!!!.......
Mpira huko hivyo lakini arsenal wako sawa
Kwa hiyo unamshauri Wenger asisajili tena si ndio?
Chicharto aomba kuuzwa,adai man wapunguze dau lake aweze kuondoka kwani e12 nikubwa sana...
LVG ni mamluki wa Wenger au hamjui hilo lol
Mkuu tangia mshinde "bonanza" naona upo active sana hapa
Yaani acha tu.....sasahivi wameanza safari ya matumaini ya kubeba UCL na EPL wanadai walibeba juzi kwa kumchapa Chelshity
Arsenal huwez hifananisha na man u ki ubora kwa sasa ndio maana mnavyo haha nyinyi ni tofauti na sisi hushangai wachezaji muhimu wazuri kusepa au unataka kuleta unazi. Kwa sasa mtagombea nafasi tu pengine ya NNE lakini si ubingwa nyie sajiri mpaka malaika.
Rafael n full back mzuri ila majeruhi yameshusha sana kiwango. Halafu rafael siyo mzuri kukava nafasi endapo beki wa katikati wamepotea. Damian Mateo yuko vzr