Juwaine
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 624
- 170
Aisee una kiburi cha kuongea hivi kwa kumfunga chelsea moja bila au ni nini kinakufanya uwe kiburi? Mimi nimekuuliza kwa hiyo unamshauri wenger asisajiri? Jibu ili niihifadho comment yako alafu kabla ya januari nikukumbushe
Kusajili au kutosajil ni aftermath lakini usifananishe man yumbu na Arsenal man yumbu ni bahat na sibu kugombea nafas ya nne