JOAQUEM
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 2,020
- 1,673
Young alikuwa majeruhi ( broken leg )ila alivumiliwa... baada ya hapo form fitness ikawa poor...lakini leo hii yupo na mchango wake umeuona....Rafael still he is 24 years old....angeweza kuovercome hayo yote....Naona anahesabu za kuwa ataendelea kuwepo pale zaidi ya miaka 3, ila rafael majeruhi ndo yamemkost