Lvg akizingua mwaka huu lazima asepe, huwezi kuwauza wachezaji kizembe zembe kiasi hichi.. roho imeniuma sana rafael kusepa alafu unamuacha evans?? Lvg kweli??.. da silva anajua thn bado mdogo, i no wonder nikisikia rooney is next
Daah...Kila Nimuonapo Cleverley Machozi Yananilenga. Leo hii yupo Everton...maisha yapo kasi sana. Kuna wakati tuliaminishwa ni mrithi wa Paul Scholes. Sijui nini kilimsibu???
Rafael tunamuona tangu mtoto tumevumilia makosa yake kibao sasa hivi anaanza ku mature huyu LVG anamuuza!!!!
Huyu LVG kwa kweli mimi sina imani naye kabisaaaaaa! Na anazidi kunivuruga kabisa,mtu mwenyewe anakaa OT miaka mitatu lakini ona anavyovuruga timu!!! Sasa kuna sababu gani ya kumuuza RAFAEL?? Angemuweka benchi tu kama alivyofanya msimu huu!!! Kwa akili ya huyu kocha hatupati kombe lolote mpaka aondoke!