Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Sawasawa Azam nawatakia ushindi japo sijui hata mchezaji wao Mmoja.....
😱 ata John Bhoko:what:
Sawasawa Azam nawatakia ushindi japo sijui hata mchezaji wao Mmoja.....
😱 ata John Bhoko:what:
Yaani aibu??nilisikia hilo jina sana ila Sura siijui
Co kila cku kina Memphis tu, tukumbuke na vya kwetu kidogo.
Enzi zile atleast tulikuwa tunaleta burudani siyo sasa,ila nishaweka Silaha chini ntasapot vya kwetu...😀
Hahahaa umeuza bunduki na bado waendelea kuziuza, kuwa makini asee mcmu huu watu wanajipanga.
Nasubiri kwa hamu tu ligi ianze uone .....naskia Boko keshailiza Gor mahia ?
Chamboooooooo
Sasa Mbona kujanialika nikushangilie.....