Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Ligi ianze mapema tuwe tunaheshimiana mitaani.
Siku si nyingi mkuu. Vuta subira.
Tusubiri super striker na Best Centre Back.
Ligi ianze mapema tuwe tunaheshimiana mitaani.
Safiii sana vijana wangu hamjaniangusha
Kuna team itapigwa goli 8 msimu ukianza. Tena ipo big 4.
Mchepuko umekuonea huruma usiringe sana...
Ligi ianze mapema tuwe tunaheshimiana mitaani.
Hivi hamjaona dalili za nyakati au hamjakubaliana nazo ? Msimu huu wa 3 nadhani itakuwa ndo mtajua ukweli wa mambo
Kuna team itapigwa goli 8 msimu ukianza. Tena ipo big 4.
Si ile ambayo mkurugenz wake alisema anaweza kusajil mchezaji yoyote yule dunian coz they have £200mil... teh teh
Kuna team itapigwa goli 8 msimu ukianza. Tena ipo big 4.