Mbona kwangu imekubali tena natumia simu tu,una account youtube?
Every link imegoma kwangu...hata MUTV haionyeshi...better go back to sleep mpaka saa saba!
Watakuja kukuambia ilikuwa ni mechi ambayo haina maana
Mu 3- barca 1
Man u goals
Rooney dk8
Lingard dk67
Januzaj dk 90.
Safiii sana vijana wangu hamjaniangusha
Duh mbona sasa hii timu kuipanga mbona mpk nachanganyikiwa.. mkubwa fella, herrera, bastian, carrick, schnederlin... teh teh teh... hey haters i cant hear you