Madam.. ukipata link ya hii mechi naomba unishtue cc everlenk
Hahahaaa usijali mkuu hata fasibuku wanaonyesha ngoja nitafute link.
Last edited by a moderator:
Madam.. ukipata link ya hii mechi naomba unishtue cc everlenk
Wenye mtandao wao wananijibu, This video is private😩
Hahahahhaha!!!! Utachekwa na dunia....uko wapi mwenzetu? Hujui timu gani sasahivi yenye udhamini wa nguvu kuliko zote?.. cute b njoo mama watu wanauliza ati tumepata shavu la Adidas lini?
Wenye mtandao wao wananijibu, This video is private😩
ronaldo.net ndiyo balaa kama una internet connection iliyokaa vyema.
ronaldo.net ndiyo balaa kama una internet connection iliyokaa vyema.