Ntakupeleka mwenyewe hapa kwa mashetani wekundu hapatufai mji wa liverpool utatufaa
hahaha na bado utakuja sana tu....
nimekuja hilo changa la macho hilo.....kwanza nendeni mnajaza seva tu hapa
Uwiiii timu ya wazee unaenda? Unaijua Liverfool wewe? Huko ni mababu tu ndo yamejaa halafu ili uishabikie lazima uwe na moyo wa chuma maana kila siku ni vipigo.

Nifuate tu mpz wangu kwanza ukiwa huku utakula mema ya nchi balaa si unajua tena pesa ipo na mapenzi yapo ...
Hapo tu kwenye bold ndo ninapokupenda darling.. Ila kuhusu pesa hata kule "ninakotaka kuhama" zipo..
Hahahaaaa haaa.
wew niheshimu mume wangu RRONDO yupo huku.Pua lako!
Mweeeeh!!!!! Naota au ati unasemaje ana....??? Hao ni mabest tu anayejulikana ulimwengu mzima ni mmoja tu.....
Mweeeeh!!!!! Naota au ati unasemaje ana....??? Hao ni mabest tu anayejulikana ulimwengu mzima ni mmoja tu.....
LVG kasema kuna suprise signing ya striker.
Hadi sasa kasema hakuna media iliyopata clue kuwa ni striker gani atasajiliwa.
Hapana everlenkiiiiiiiii si unajua shost anaachwa leo ndo maanaa ana stress.
Lol ngoja nifunge mdomo akina herrera wasije wakanuna tunawajazia seva buleeee