Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hapana everlenkiiiiiiiii si unajua shost anaachwa leo ndo maanaa ana stress.
Lol ngoja nifunge mdomo akina herrera wasije wakanuna tunawajazia seva buleeee

Wewe huyo anae acha alioa lini au alijitangaza kuoa
 
Last edited by a moderator:
Nitakuwa macho mamy ila sijalipia dstv lol...
Sijui itakuwaje mb zenyew nane

Mummy Dstv nyoko balaa wamepandisha bei tena mimi juzi nalipia wanasema sijui laki na sabini sijui themanini sikutaka hata kuwauliza ikabidi niwaambie waniiunganishe na compact plus ambayo ni laki 34,pumb..avu zao waliniudhi kweli.....nitawahama soon
 
Lipeni tu ds azam preasison zoteee live
 
Kikosi cha Manchester United leo: 1. De Ga 2. Darmian 3. Shaw 4. Blind 5. Jones 6. Carrick 7. Mata 8. Schneiderlin 9. Rooney 10. Depay 11. Young.
 
Back
Top Bottom