Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Shemejiiiiiiiiii!!!!!! Doooh!!!! Mpaka tulianza kukusahau bora umerudi aisee maana hali ngumu,mkeo atoto naye siku hizi kaanza shabikia mpira yuko na Barca nashangaa badala aje kwako LVP,kule kadakwa juu juu na vidume vya kule si mchezo

Hujajibu bado nataka atoto aje aone jibu lako

Mshike mkono mpeleke kule kwa majogoo wa huko Barca kamfata nani
 
Last edited by a moderator:
Hujajibu bado nataka atoto aje aone jibu lako

Mshike mkono mpeleke kule kwa majogoo wa huko Barca kamfata nani

Jibu gani tena shem wewe mwenyewe si umerudi!! Labda wewe mumewe atakusikia.
 
Last edited by a moderator:
LVG kasema kuna suprise signing ya striker.
Hadi sasa kasema hakuna media iliyopata clue kuwa ni striker gani atasajiliwa.
 
Shemejiiiiiiiiii!!!!!! Doooh!!!! Mpaka tulianza kukusahau bora umerudi aisee maana hali ngumu,mkeo atoto naye siku hizi kaanza shabikia mpira yuko na Barca nashangaa badala aje kwako LVP,kule kadakwa juu juu na vidume vya kule si mchezo

Yaani wanawake mna visokorokwinyo nyie!! We na cute b sijui hata niwafanyeje yaani, nawatafutia booonge la balaaa, nyie ngojeni tu, bora hata wewe najua ni wivu maana tuliwahi kushare, sasa huyu cute b ndio sijui ana matatizo gani!
 
Last edited by a moderator:
Yaani wewe! Hata siamini umenicomentisha huku ushetwanini!! Aaaagggrrrrr!
hahaha na bado utakuja sana tu....

Aje sasa ashuhudie na hii ha ha ha tunawakomeshaje everlenk com this way
nimekuja hilo changa la macho hilo.....kwanza nendeni mnajaza seva tu hapa

Mweeeh ndio wapi huko? Hebu nielekeze baby twende, si unajua uendako ndiko niendako?
Uwiiii timu ya wazee unaenda? Unaijua Liverfool wewe? Huko ni mababu tu ndo yamejaa halafu ili uishabikie lazima uwe na moyo wa chuma maana kila siku ni vipigo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom