everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Glory Glory Manchester united
Bebito umeamkaje?
Glory Glory Manchester united
Bebito umeamkaje?
mata anaipatia man utd bao la kuongozj kwa msaada wa ashley young hapa
mata anaipatia man utd bao la kuongozj kwa msaada wa ashley young hapa
Mkuu ni mata au depay?
depay hakuugusa ule mpira,umeenda moja kwa moja wavuni
Nimeamka poa swat..
Vipi wew. Na afya yako?
Di maria katoka au?
Nimechemsha bby niko kitandan nawafuatilia kiaina,naskia maumivu ya kichwa balaa.