everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Pole mamy lol wamerudisha moja
Tutaongeza lingine naamini.
Pole mamy lol wamerudisha moja
Pole mamy lol wamerudisha moja
Tutaongeza lingine naamini.
Mkuu ni depay ata kwenye rocord inaonyesha ivyoo
si kweli,hebu angalia vizuri tena.utaona,depay hakuugusa kabisa ule mpira.
si kweli,hebu angalia vizuri tena.utaona,depay hakuugusa kabisa ule mpira.
Sawa mkuu
Watu wanaangalia mechi fesibuku na wasapu
teh teh teh
Kuangalia football twitter ni noma sana..
Mijitu mingine bhana kama vile imenunua simu jana haijui matumizi ya simu kabisa
Gooooooollll
Shangaaa na wewe FB na wozap zinaonesha vipi? Achana nao hii ni Asubuh tusijevurugwa bure. .......
Hii game inaonyeshwa adi YouTube
Nilimwambia linarud mumy....
teh teh teh teh
Game inaonyeshwa Youtube eehh.. Aiseee