Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Muosha huoshwa! From 7 - 0 to ... ..... 0 - 4
 
West Ham's Spector celebrates his second goal to leave United
with a mountain to climb in the second half

Sir Alex Ferguson is less than impressed as Manchester United
are torn to shreds by West Ham in a 4-0 defeat
 
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Belo na Manda walikuwa hapa jana ooooops leo ....... .......
hata Eqlypz amewaona wameingia wamekuwa adimu kama ndimu.
 
...sina la kuwafariji zaidi ya kuwapa mkono wa pole.:A S 109:
 
Waungwana I must admit kuwa tumechezea kichapo cha mbwa mwizi leo kutoka kwa West Ham.
West Ham 4 - 0 Manchester United Full Time.

...leo refa kaona aibu kuongeza dakika, kawaida refarees huwapa mpaka dakika ya 97 mrudishe,
lakini nne nyingi wazee 😛ray2:

Kombe ni la Arsenal sasa angalau watapata something baada ya miaka mitano.

...uhh,...sasa hizo dharau bana...ha ha! :thumb:
 
leo mmepata bonge la pigo la aibu na bottom 4 kwenye league...nice one
 
Afadhali tumepunguza makombe ya ushiriki katika kulekea kubeba TREBLE this season. Hayahaya Arsenoools..huu ndo mda wa kuatakata AT LEAST na Carling Cup, manake nasikia kabati lenu la makombe liko......
 
........EMPTY..... i mean with Old Old Old Silverware's..!
 
Attachments

  • Arsenools Empty Kabati.jpg
    6.5 KB · Views: 27
...leo refa kaona aibu kuongeza dakika, kawaida refarees huwapa mpaka dakika ya 97 mrudishe,
lakini nne nyingi wazee 😛ray2:

...uhh,...sasa hizo dharau bana...ha ha! :thumb:
Hiki kichapo kinanikumbusha 05/06 tulichezea 4 -1 kutoka kwa Middlesbrough, mkuu sio dharau ni hali halisi.
 
Afadhali tumepunguza makombe ya ushiriki katika kulekea kubeba TREBLE this season. Hayahaya Arsenoools..huu ndo mda wa kuatakata AT LEAST na Carling Cup, manake nasikia kabati lenu la makombe liko......

Mbaazi akikosa maua.
 
Kombe ni la Arsenal sasa angalau watapata something baada ya miaka mitano.

...uhh,...sasa hizo dharau bana...ha ha! :thumb:

Hayahaya Arsenoools..huu ndo mda wa kuatakata AT LEAST na Carling Cup, manake nasikia kabati lenu la makombe liko......

Washika magobole wameshinda basi hatunywi maji leo..

........EMPTY..... i mean with Old Old Old Silverware's..!

Mbaazi akikosa maua.

Woolwich fat Arses for Mickey Mouse Cup, that's all they can achieve!
 
....:whoo😛easant, kwema huko?

Naona umeanza kufungua champagne tayari, hahahahaha....lol. Hongera sana mkuu, lakini najua itakuwa taabu sana kupata usingizi kwetu sisi Blues na Spurs maana noisy neighbours wanasumbua si mchezo!
 
Hii mijitu inaongea baraaaa! siku wakibahatisha hata nafasi ya pili EPL i cant imagine kama humu jamvini kutakalika na kulalika....agrrrrrrrr,
 
Naona hatutoona WC ndani ya Old Trafford lol!!! Mechi dhidi ya Blackpool iko kama kawaa jamaa wamefunika jukwaa na turubai linalopasha joto pitch.
 
Hii mijitu inaongea baraaaa! siku wakibahatisha hata nafasi ya pili EPL i cant imagine kama humu jamvini kutakalika na kulalika....agrrrrrrrr,

,...he he hheehhehe!, hamadi ('pwenti tatu') kibindoni!, ...mna jibu?
Kama ni mchezo wa draft, leo tumekula hadi kingi! :whoo:
 
,...he he hheehhehe!, hamadi ('pwenti tatu') kibindoni!, ...mna jibu?
Kama ni mchezo wa draft, leo tumekula hadi kingi! :whoo:

Subiri tarehe 13,najua mtaanza kusingizia tumebebwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…