Mkuu Isaac nyonyox usishangae ndivyo ilivyo mbona? Lazma kijulikane kikosi kipi bora
Last edited by a moderator:
Kipindi cha pili naona LvG kajaza makinda...
Na kwa mara ya kwanza tunamuona Bastian...
Kwa kuwa ni mara yako ya kwanza kufuatilia mchezo wa soka...
Wanaingia 22(11_new) match moja ni humility to America
Man u Ilikua man u wakati furgerson alikua manager

Bado unaishi Tanzania ya Nyerere? Maisha lazima yaendelee mkuu
Ligi haijaanza mshaanza kuichukia Man U , mwaka huu mtaona motowake
kwahiyo sa hivi imekuwa sio man united au. we ngoja uone msimu ujao hapo
Kila jambo na wakat wake jamani mambo hayajengwi siku moja.
Inakuuma nini?? na wewe sio fan wa united!!!Kama ni hivyo u've got long wait ahead mazee
Kwani sasa hivi imekuwa Ndanda?
Mukuu we kama zeze tuachie chama letu kashabikie magonjwa ya moyo