rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
LVG anahitaji muda hasa kwa kikosi kilichokuwa kinahitaji a total overhaul.
Tunampa msimu huu na ujao utaona mambo.
Msimu ulioisha tumeona mambo aliyoyafanya na makosa anayotakiwa kuyarekebisha. Tunahitaji mmaliziaji, holding midfield na centre back.
Kwa ule mpira bila kuwa na hawa wachezaji basi hakuna kitu.
Afadhali wewe una muono huo. Kuna baadhi ya wapenzi wa soka siku hizi hawana subira wala nini. Wanadhani timu imwagapo pesa nyingi katika usajili inakuwa ni guarantee ya kupata immediate success. Pia inaelekea walidhani mtakuwa kama ilivyokuwa enzi za SAF. Hii msahau, itawachukuwa miaka kadhaa kupata kocha atakayemkaribia SAF kimafanikio (in and out of field), hii sio kwenu tu hata Arsenal Wenger akiondoka tutapata shida ku-maintain status tuliyonayo. Washabiki wa siku hizi tunahitajika kuangalia mpira kwa mapana na marefu.