Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Matteo darmian
 
Attachments

  • 1436359344877.jpg
    1436359344877.jpg
    48.6 KB · Views: 158
Mimi ni MANCHESTER UNITED ila kuanzia leo nahamia FC BARCELONA timu bora

Wewe sema na FCB ila unatafuta gia ya kuingia man u baada ya queen mesi kuzingua kweny fainal ya copa amerca.
Sio mbaya karibu man u mkuu PNC 1 kuna wakali akina Depay Di. Maria , herrera mata..
Karibu sana kaka.
GGGGGGGGMU
 
Last edited by a moderator:
Ana authority gani huyo mpaka ukimbilie kupost alichokisema?!?

Ametumia vigezo gani katika kutoa jumuisho hilo?!?
Watu wanajua kukurupuka pasipo kuchuja pumba au mashudu...ww waache tu..
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
sielewi kwanini tunakimbilia kusajili RB wakati msambaa yupo and we have alot of positions to worry. CB,CM and ST
1625732.jpg
 
Sasa mkuu unadhani tatizo tulilo nalo kwenye striking force ni sawa na kwenye RB?? Valencia hyo sio namba yake halafu Rafael anaondoka, kuhusu CB otamend/Ramos mmoja wapo yupo njiani, kuhusu CM Morgan ni wetu yule
 
valencia sio natural number yake lakini amecheza hapo msimu mzima, ferguson pia alikua anamtumia hapo in some occasions, statistics za valencia zimekaa vizuri kuliko huyo tunayetaka kumsajili. mi naona bora tumuache msambaa back up atakua jones. tukinunua rb na kumsogeza valencia mbele is just like adding problems kwenye kuchagua starting 11 maana tuna ma winger wengi di maria young janujaz depay achalia mbali mata ambaye van gaal alimtumia kama right wing last season
 
Valencia hio sio namba yake na kuna makosa amefanya tumefungwa mechi muhimu sana. Na hayo makosa ameyafanya kwasababu sio defender ni winger kwahio hana instinct za defender huwa anajisahau,huwezi kumlaumu ila anahitajika natural defender. Nasikitika sana kama Rafael atauzwa, LVG ananiboa sana na sioni man utd ikifanikiwa chini yake.
 
makosa yapi mkuu?? au unazungumzia mechi ya chelsea?? cut the guy some slack kila mchezaji anafanya makosa... too bad ni kwamba the guy works so hard and i dont see him playing anywhere else than the rb position. ma winger wapo wengi sana
 
kafanya makosa mengi kwasababu sio natural righ back, hamna asiejua kuwa anafanyakazi kama punda.
 
anafanya makosa mengi ila yanayooneka na kuzungumziwa ni yale yanayosababisha magoli tena mechi kubwa, hana instict za defender ingawa anafanya kazi nzuri ila anatakiwa apatikane natural right back

The only real weakness in the defense at the moment seems to be Antonio Valencia. Ever since Rafael picked up an injury at the start of the season, the Ecuadorian has been starting the game as either wing back or right back. A naturally attacking winger with solid defensive abilities, Valencia has done a very decent job as a right back. Make no mistakes about it. He has been good at tracking runners and has even developed the knack of knowing when to put in the tackle and when to hold his ground. He has assisted well in attack, as can be expected of him. The only thing that Valencia is guilty of is making some costly mistakes, that have directly resulted in goals and defeat. Two mistakes in the FA Cup tie against Arsenal meant that United had to say goodbye to their FA Cup dreams, two mistakes that also saw him publicly apologize to his teammates and fans. In the game against Chelsea, he was out of position and failed to close the gap between him and the central defender that led to Hazard slipping into the penalty area and shoot past De Gea for the game's only goal. Playing Valencia as a right back was always going to be a gamble. It has paid off for United in most of the games, but against the better teams, it can turn out to be a weakness as has been proved on a couple of occasions. United do have a couple of other options that they can look to use in that position. The first player that is comes to mind is Rafael. Injuries have seen him in and out of the squad. But his latest injury picked up in an under-21 game against Leicester this week might just mean that the Brazilian has played his last game as a red devil.
 
kafanya makosa mengi kwasababu sio natural righ back, hamna asiejua kuwa anafanyakazi kama punda.

mkuu tatizo mashabiki wa man u tumekua tukibetweka na rumours circulating around the medias. tunadhani man u wanaweza kusajili kikosi kizima which is not true. i can see not more than three more big signings ahead. tujiulize je tunahitaji kusajili position gani. maana defensive midfielder is no debate hapo lazima tupate mbadala wa carrick. centre back pia lazima tusajili.. and with van persie probably going we need a ST. Rb will be my fourth opinion.. lakini hayo ni mawazo yangu tu
 
defensive midfielder kuna mpango wa kumsajili Morgan Schneiderlin kwangu mimi anafaa
centre back naona kuna jitihada za kumpata ramos au otamendi,ramos ataleta experience kwa akina smalling,evans,jones
kwenye striker bado sijasikia juhudi zozote kwani akiondoka rvp tutabaki na rooney na wilson tu, hawa hawatoshi hata kidogo.
 
mkuu tatizo mashabiki wa man u tumekua tukibetweka na rumours circulating around the medias. tunadhani man u wanaweza kusajili kikosi kizima which is not true. i can see not more than three more big signings ahead. tujiulize je tunahitaji kusajili position gani. maana defensive midfielder is no debate hapo lazima tupate mbadala wa carrick. centre back pia lazima tusajili.. and with van persie probably going we need a ST. Rb will be my fourth opinion.. lakini hayo ni mawazo yangu tu

Yako muzuri sn km mauwa!
 
Back
Top Bottom