Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

pole ndugu yaani, kwahyo unamkompea Woodward na akina combe, FSG was liver?? Woodward alive mleta di maria kwa ada ya kuvunja British record, aliemleta falcao anmfananisha na yule alive waleta akina baloteli na lambert, we ni mpnz wa man u? huwa unafuatilia press conference za van gaal? naomba itafute press conference ya mwisho wa msimu usikie alichokisema, tatzo story za vijiweni zinatia watu pressure, wakati ndio kwaanza dirisha LA usajili limefunguliwa leo

Ndugu yangu hapa siyo suala la kufuatilia ama laa....umesema hawa mazombie waliwaleta Falcao,Dimaria kwa ada ya kuvunja rekodi sasa hebu niambie huyo Falcao na Di maria wamefanya nini?hao sawa na Baloteli uliyemtaja.Dirisha linafunguliwa leo sawa,Hata mwaka jana ilikuwa hivyohivyo wakaja kutuletea magarasa siku ya deadline.Kuhusu LVG alisemaje unaweza kunikumbusha coz Zombie yule kaongea mengi tu.
 
Apparently atleti wants gaitan to replace
Turan.
What's the bet that tomorrow's headline
would be 'gaitan rejects United to join
atleti to replace Turan who had earlier
rejected United himself'
Edit - they would add at the end of the
article 'ps - shaqiri rejects them

Kama wa.j.inga wachache wanavyosema firmino, clyne eti wameikata Utd, tatizo watu wanashindwa kutofautisha story za magazeti na taarifa seriaz
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Zilikuwa tetesi tu kumbe aji wala nini

Hichi kipindi unapaswa kuwa makini na nakushauli uwe unafuatilia habari za kutoka vyombo vya habari vyenye kuaminika kidogo la sivyo utapelekwa kama upepo maana ukiwa kila source ya habari basi wewe unaiamini nakuhakikishia kwa siku moja asubuhi mpaka jioni utakua unasoma habari za wachezaji kuhusishwa na kuhamia MU wasiopungua 6..sasa piga hesabu kwa siku 60 MU itahusishwa na players wangapi? Hiyo ya uyo jamaa wa SOTON ipo lakini haikufikia hatua kama vyombo vya habari vilivyokua vinaripoti...sasa kila anahusika na MU ata akiwa anapiga stor tu na wenzake mgahawani akiropoka jina la mchezaji tu tayari kesho kwenye front page na ndio habar kuu
 
Nyiye hadi mnatia huruma.. one cater unafananisha United na Loserfools katika usajili?!? Huyu mwingine anakejeli usajili wa Depay!!

Kuna uwezekano mkubwa nyiye mnasikiliza stori za vijiweni. Mnajipa presha bure tu..

Ningewashauri tu, angalau msome na kupata taarifa toka Sky Sports; hawa wanaweza kuwa na taarifa za uhakika kiasi kikubwa.

Jambo la mwisho sasa ndipo kipindi cha rumour mills kufanya kazi na kuuza habari kwenye hard print, na kupata followers wengi kwenye social media. Hivyo hizo haziepukiki, ukizingatia United ni moja ya timu tatu kubwa zaidi duniani, na yenye mashabiki wengi kuliko timu yoyote duniani.

Relax lads....

Hata mwaka jana tulirelax na mwisho wa siku chaliii.....hao skysports unaosema ndiyo source yangu ya kwanza kwa habariza michezo lakni hawana tofauti na wengine,rumours nyingi uhalisia sifuri.All in all labda nikuulize Nzi;pre-season madhumuni yake ni nini?hivi ukisajili mapema halafu hao uliowasajili ukaenda kuwapa uzoefu na kuzoeana kwenye timu during pre-season kuna ubaya?

Pia tusidanganyane humu,hakuna ambaye hafuatilii hizi transfer rumours,kwa mpenda michezo kila kukicha kwa kipindi kama hiki lazima apitie media tofauti kuangalia kimeandikwa nini juu ya mambo ya usajili na tetesi za uhamisho
 
Last edited by a moderator:

Kaka ata ao skysports sasa ivi nimeanza kuwa na mashaka nao, sometym wanakujaga na umbea umbea kama wa Goal. Com, deal sasa ivi ni kuona mchezaji kasimama kwenye vitofali vyekundu basi ndo tuamini..
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi
Ndugu yangu hapa siyo suala la kufuatilia ama laa....umesema hawa mazombie waliwaleta Falcao,Dimaria kwa ada ya kuvunja rekodi sasa hebu niambie huyo Falcao na Di maria wamefanya nini?hao sawa na Baloteli uliyemtaja.Dirisha linafunguliwa leo sawa,Hata mwaka jana ilikuwa hivyohivyo wakaja kutuletea magarasa siku ya deadline.Kuhusu LVG alisemaje unaweza kunikumbusha coz Zombie yule kaongea mengi tu.

Biashara ya mpira sio kama biashara ya nyanya mkuu.Ili mchezaji asajiliwe lazima pande tatu zikubaliane (Timu anayotoka mchezaji,timu anayoenda na mchezaji mwenyewe ),Falcao & Di Maria umesema magarasa so unataka United wamsajili CR7,Messi,Aguero au Iniesta? Hadi sasa Chelsea,ManCity,Real Madrid,Bayern hawajasajili wachezaji yeyote.Loserpool last season walisajili hivyo hivyo but walitoka nafasi ya 2 hadi ya 5 while United walitoka no 7 hadi 4,hebu pita kwenye jukwaa la Liverpool uone wenyewe wanavyolalamika pamoja na kusajili wachezaji 6 hadi sasa
 
Yan ndugu yangu ulichoandika mpaka nimejikuta nimebaki mdomo wazi,yan Bro kweli kabisa ulidhamiria kuandika hiki ulichoandika?hivi unataka kufananisha ubovu wa Man Utd na Barcelona,Madrid,Bayern etc?haya hao mfano wamemsajili Douglas Costa,na hapo ujue wana kikosi imara mara kumi ya Man Utd.Kalaghabaho
 
[h=1]Van Gaal's final post-match interview[/h]QUESTION: What was the problem with Angel Di Maria who went off injured?

ANSWER: I cannot say [for sure], but I believe he felt something in his hamstring, so he didn’t want to take the risk to continue. I think that is smart, it’s intelligent [from him], but I don’t think it’s very heavy – we will have to wait and see

QUESTION:
Are you expecting your holiday to be busy this year, with ins and outs in the transfer market?

ANSWER: Yes, of course, I go on holiday but I have contact with Ed Woodward every day as he is doing the negotiations. We know now who has to go and which players we want to bring in, but that is a process, so you never know. These things are dependable on different parties - the club, the player and Manchester United of course. It shall be a heavy [busy] holiday! [Smiles

hebu somen hapo
 
[h=1]Louis van Gaal wants to sign deep-lying midfielder for Manchester United[/h]Asked if that is his priority signing this summer, van Gaal confirmed: “No.6 is a key player, yes. I have more key roles – the no.6 is just one of those key roles. You have seen this season, for example, because Michael Carrick is injured and I don't have another, I have to play with Ander Herrera there. He did it very well, but it is not his speciality.
“I have played Wayne Rooney there also, but it is not his favoured position. I had to do this because I don't have another right-footed holding midfielder like Carrick. That is why it is a key role, but I cannot discuss other positions because then I show too much.”
Van Gaal has reiterated his desire to complete United’s business long before the window closes on 31 August. In fact, the manager is keen for that deadline to be brought forward to before the Barclays Premier League season begins.

“It is always ending on 31 August, which, in my opinion, is ridiculous,” van Gaal says. “I have many times strived to change the transfer window because it has to be out of the competition. You have to be finished before your prepare your team for the season.

“Last year we had the World Cup and a lot of players came in later. We made a lot of purchases at the last moment, on 31 August, so we had to prepare our team in the Premier League and that cost us a lot of points. That's the difference with other teams. I hope we shall finish that much earlier.

malizieni na hapa
 
Kunapooza ligi ikiwa hamna.... ila nasikia unakwenda Uganda kuipa tafu timu ya taifa ya "Homeboy" wako
Taifa stars ni ubao wa kujifunzia kuandika. Waganda wataondoka na points 3 afu homeboy atakuja na porojo zake
 
Yan ndugu yangu ulichoandika mpaka nimejikuta nimebaki mdomo wazi,yan Bro kweli kabisa ulidhamiria kuandika hiki ulichoandika?hivi unataka kufananisha ubovu wa Man Utd na Barcelona,Madrid,Bayern etc?haya hao mfano wamemsajili Douglas Costa,na hapo ujue wana kikosi imara mara kumi ya Man Utd.Kalaghabaho
Chelsea still havent signed Falcao
officially
City still havent signed anyone
officially despite how many bids
for Sterling
Liverpool are signing players with
little competition from anyone
It was reported Arsenal were going
to sign Cech last week monday,
Cech and his management came out
and denied it and a week later he
signed.
Calm down mate.
 
Hata mwaka jana tulirelax na mwisho wa siku chaliii.....hao skysports unaosema ndiyo source yangu ya kwanza kwa habariza michezo lakni hawana tofauti na wengine,rumours nyingi uhalisia sifuri.All in all labda nikuulize Nzi;pre-season madhumuni yake ni nini?hivi ukisajili mapema halafu hao uliowasajili ukaenda kuwapa uzoefu na kuzoeana kwenye timu during pre-season kuna ubaya?

Pia tusidanganyane humu,hakuna ambaye hafuatilii hizi transfer rumours,kwa mpenda michezo kila kukicha kwa kipindi kama hiki lazima apitie media tofauti kuangalia kimeandikwa nini juu ya mambo ya usajili na tetesi za uhamisho

Sawa basi..
 
Kaka ata ao skysports sasa ivi nimeanza kuwa na mashaka nao, sometym wanakujaga na umbea umbea kama wa Goal. Com, deal sasa ivi ni kuona mchezaji kasimama kwenye vitofali vyekundu basi ndo tuamini..

Poa poa..
 
Hata usiumie mkuu tetesi zote ni media zaidi wanazirusha kila mchezaji mkali wanajaribu kumuhusisha na MU ,tutulie tu tutaona kina nani ambao watasajiliwa na si kusikiliza tetesi za media....
mchezaji mkal messi peke yake na wazue wengine wa fcbarcelona hao wengine magarasa tu
 
Gundogan signs new Dortmund contract

It's a win-win, seeing as (presumably) no
club wanted to take a risk on him given
his injury record and (so far)
underwhelming comeback. He gets to stay
around for another year at Dortmund to
prove his worth, without them taking the
risk of losing him for nothing by keeping
him another season.
 
Back
Top Bottom