Mimi ni MANCHESTER UNITED ila kuanzia leo nahamia FC BARCELONA timu bora
mamluki, we hama tu
ha ha ha ha ha ha ha tatzo sie man u tutakuja kuwa kama qpr nami nataka makombe
Mimi ni MANCHESTER UNITED ila kuanzia leo nahamia FC BARCELONA timu bora
Nimekwambia wachezaji hawanunuliwi kama nyanya,hauendi ukalazimisha kusajili mchezaji ambaye timu yake haimuuzi au yeye hataki kusajiliwa na timu yako.Transfer ya wachezaji sio rahisi kama unavyofikiriYan ndugu yangu ulichoandika mpaka nimejikuta nimebaki mdomo wazi,yan Bro kweli kabisa ulidhamiria kuandika hiki ulichoandika?hivi unataka kufananisha ubovu wa Man Utd na Barcelona,Madrid,Bayern etc?haya hao mfano wamemsajili Douglas Costa,na hapo ujue wana kikosi imara mara kumi ya Man Utd.Kalaghabaho
ha ha ha ha ha ha ha tatzo sie man u tutakuja kuwa kama qpr nami nataka makombe
Asante sana kaka naujutia mda wangu nilioupoteza kwenye klabu hii inayowania big4 badala ya ubingwaWenzao msimu ujao wanapigania UEFA wao leo lao ni kuwa top 3. Kwa style hii lazima uje Barca, Njoo jembe langu!
Wewe sio hata fan wa club hii Kubwa na yenye ambition za kuchukua makombe. Kwahiyo usitusanifu hapaMimi ni MANCHESTER UNITED ila kuanzia leo nahamia FC BARCELONA timu bora
Mimi ni MANCHESTER UNITED ila kuanzia leo nahamia FC BARCELONA timu bora
Asante sana kaka naujutia mda wangu nilioupoteza kwenye klabu hii inayowania big4 badala ya ubingwa
Wenzao msimu ujao wanapigania UEFA wao leo lao ni kuwa top 3. Kwa style hii lazima uje Barca, Njoo jembe langu!
mamluki, we hama tu
Kafie mbele
Aleyn my dady nakuheshimu sna hii style mliyokuja nayo inawadhalilisha plz kuna matani mengi na tambo kibao za kupeana ila hii ya leo siyo pouwa kila jukwaa mnapita mnaandikaa hivi ili iweje? Mnawatafutia watu ban bure.....!!! Please PNC 1 acheni hizo....Watu wanahama dini, wengine wanakana watoto na wazazi wao. Sio vibaya mtu kuhama Man U. Unaanzaje kushabikia timu ya ukiwete hii, timu ishakua kiwete hii.