Kuna tetesi nimezisikia pia zikimuhusisha arda turan kuhamia man utd..
Kivipi ndugu ebu tuweke sawa basi
Kuna taarifa zilikuwa zinasema jamaa utd watakamilisha deal lake leo, ila mpaka sasa ivi akuna lolote, kumbe ni umbea tu, daah nimechoka na tetesi, wenzetu Liverpool wameshafanya usajili wa wachezaji 6 mpaka sasa, sisi makelele tu 😞😞😞
Nina mpango wa kuchat kufuatilia hizi ishu za usajili.
Si walisema J3??
Hata usiumie mkuu tetesi zote ni media zaidi wanazirusha kila mchezaji mkali wanajaribu kumuhusisha na MU ,tutulie tu tutaona kina nani ambao watasajiliwa na si kusikiliza tetesi za media....
Woodward na zombie wake LVG wamekaa kama masanamu tu,Liverpool wamejua kuwa wanamapungufu wameamua kuyafanyia kazi mapema ili wanapoenda pre-season wachezaji wakazoeane huku.Sisi zimebaki rumours tu kilasiku,wanasubiria siku za mwisho watuletee magarasa.Sehemu yenye matatizo makubwa ya kiungo wa kati na beki bado haijafanyiwa chochote mpaka sasa hivi,lakini angalia mjinga LVG anaenda kutuletea kina Depay ambao sio changamoto ya timu hivi sasa.Anataka kusajili forwad kina Kane,Benzema,Cavani...je striker ndiyo tatizo letu kuu kwa hivi sasa Man utd?sioni dalili zozote za wajinga hawa wawili kukiimarisha kikosi msimu huu kama inavyotakiwa.To hell LVG,to hell Woodward

pole ndugu yaani, kwahyo unamkompea Woodward na akina combe, FSG was liver?? Woodward alive mleta di maria kwa ada ya kuvunja British record, aliemleta falcao anmfananisha na yule alive waleta akina baloteli na lambert, we ni mpnz wa man u? huwa unafuatilia press conference za van gaal? naomba itafute press conference ya mwisho wa msimu usikie alichokisema, tatzo story za vijiweni zinatia watu pressure, wakati ndio kwaanza dirisha LA usajili limefunguliwa leo
I wish ningekuwa na uwezo niwe napelekaga mbele iki kipindi, maana kila kikifika tutahusishwa na kila mchezaji ulaya, Man United ishakuwa deal kwa mawakala sasa ivi wanaitumia kuuzia wachezaji wao
Kuna taarifa zilikuwa zinasema jamaa utd watakamilisha deal lake leo, ila mpaka sasa ivi akuna lolote, kumbe ni umbea tu, daah nimechoka na tetesi, wenzetu Liverpool wameshafanya usajili wa wachezaji 6 mpaka sasa, sisi makelele tu 😞😞😞
Woodward na zombie wake LVG wamekaa kama masanamu tu,Liverpool wamejua kuwa wanamapungufu wameamua kuyafanyia kazi mapema ili wanapoenda pre-season wachezaji wakazoeane huku.Sisi zimebaki rumours tu kilasiku,wanasubiria siku za mwisho watuletee magarasa.Sehemu yenye matatizo makubwa ya kiungo wa kati na beki bado haijafanyiwa chochote mpaka sasa hivi,lakini angalia mjinga LVG anaenda kutuletea kina Depay ambao sio changamoto ya timu hivi sasa.Anataka kusajili forwad kina Kane,Benzema,Cavani...je striker ndiyo tatizo letu kuu kwa hivi sasa Man utd?sioni dalili zozote za wajinga hawa wawili kukiimarisha kikosi msimu huu kama inavyotakiwa.To hell LVG,to hell Woodward
El Confidencial writes today that de GeaDe gea kashamalizana na madrid muda si ata tangazwa rasmi kama mchezaji wa madrd..so usitegemee kumuona jumatatu man u wakianza mazoezi...
De gea kashamalizana na madrid muda si ata tangazwa rasmi kama mchezaji wa madrd..so usitegemee kumuona jumatatu man u wakianza mazoezi...