Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi hao adidas wamechukua tenda ya kutengeneza jezi mikononi mwa nike au
 
Mtazamo tu
 

Attachments

  • 1435649291392.jpg
    1435649291392.jpg
    40.7 KB · Views: 128
Di Maria is the most talented
player at Manchester United,
says Rojo
 

Attachments

  • 1435671011919.jpg
    1435671011919.jpg
    24.9 KB · Views: 169
Nitaumia sana kuona Evanc anaongeza mkataba yule jamaa ni kimeo sjawaiona...
 
Hongereni sana Rojo na Di Maria kwa kazi nzuri mliyoifanya pale Chile, mliltangaza vyema jina la Manchester United pale Latin America na kwa ulimwengu mzima wanaofatilia mashindano yale.......katika magoli 6 yaliyopatikana na kuwapeleka fainali 3 yalitoka MU......big up, am proud of you!!!!!!........mrudi salama na mng'are msimu huu mpya . ....
 
Back
Top Bottom