Ningeshangaa...maana hata Megastore bado wanauza za msimu ulioisha...ila naamini hazipo mbali kutoka...nafikiri watazionyesha kwenye tour Marekani..
I mean unataka original au second class?
Phil Jones ameongeza mkataba mpya hadi 2019
Should've been between a rugby player or MMA fighter not a footballer
Acha kebehi, Falcao ni jembe ambalo hamkujua jinsi ya kulilimia! Hamtaamini litakapoingia katika mikono ya kocha bora wa msimu!
Should've been between a rugby player or MMA fighter not a footballer
Tatizo lako nini?Hahahahahaha ............. you are right!', manure na michezaji yake bhana!' bado Valencia na A.young kuongezewa mikataba.
........Hahahahahaha ............. you are right!', manure na michezaji yake bhana!' bado Valencia na A.young kuongezewa mikataba.