Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Rio Ferdinand honours list:

6 Premier League titles
3 League Cups
1 FA Cup
1 Champions League
1 Club World Cup
1 UEFA Super Cup

Legend.
 
Mtandao wa Wikipedia umeonyesha kuwa Beki Otamendi amsaini kujiunga na Man U

Source: CAUGHTOFFSIDE

valencia wanaweka ngumu lakn yeye kawambia wenzake kwamb anataka kucheza epl especialy man utd,
lets wait untill copa america ndio tutapata majibu
 
valencia wanaweka ngumu lakn yeye kawambia wenzake kwamb anataka kucheza epl especialy man utd,
lets wait untill copa america ndio tutapata majibu

Watalainika tu,mpira ni biashara.Labda Van Gal asiwe na nia thabiti
 
valencia wanaweka ngumu lakn yeye kawambia wenzake kwamb anataka kucheza epl especialy man utd,
lets wait untill copa america ndio tutapata majibu

jamaa anajua. kama ameonesha nia wamuachie aje tu
 
Hahahaaaa umetisha mkuu....NFC na JKT RUV unaonyeshwa chaneli gani na mimi nikaangalie...

Nimepoteza muda wangu kuangalia timu ya kichovu Villa ikicheza.... hii timu sijui ilifikaje Final

Kulikuwa na bonge la mechi kati ya Ndada na JKT DTV walikuwa wanaonyesha lol
 
Nimepoteza muda wangu kuangalia timu ya kichovu Villa ikicheza.... hii timu sijui ilifikaje Final

Kulikuwa na bonge la mechi kati ya Ndada na JKT DTV walikuwa wanaonyesha lol

Hahahaaa siku nyingine uwe unanishtua mkuu. Maana hii ya leo ni netball sio footbal
 
Congratulations for another trophyless season to you all...

My fav quotes of all time :

"You know, I think boring is 10 years without a title. That's very boring," Mourinho said.

"You support the club and you're waiting, waiting, waiting for so many years without a Premier League title, so that's very boring".
 
Back
Top Bottom