Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

duh, pole sana falcao, hata valencia hawamtaki, 76% ya mashabiki wamemkataa, 24% ndio wamemkubali

CGKKVSiWUAEQAPs.png

Mimi naona Falcao anafaa kwenda Italy huko ndo atavuma.
 
Nzi tuweke bet ya mechi ya kesho FA CUP final Arsenal vs Aston Villa $100.00. Upo tayari?
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Nzi naona unaogopa kubet mechi ya kesho FA Cup final, the bet is off.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
dah, wale watu wametokea kumuamini sana Bruce, licha ya kuwashusha daraja lakini bado wamemuongezea mkataba

Cku ya mwisho kuna baadhi yao walkuwa wamebeaba picha yake ngoja tusubr tuone labda atawarudisha tena
 
RRONDO atakuua mwaka huu nakwambia.
Hana utani na vile keshanilipia mahari ana hasira kama anakufa kesho.
Hahahaaa Ntuzu mambo vip?

Mambo pouwa kabisa!
cute b ntakucheki badae kidogo Niko na udhuru my dear samahani kwa usumbufu.
 
Last edited by a moderator:
Mtandao wa Wikipedia umeonyesha kuwa Beki Otamendi amsaini kujiunga na Man U

Source: CAUGHTOFFSIDE
 
Back
Top Bottom