Robin Van Persie agrees to sign for Manchester City. Another betrayal by yours truly Judas
View attachment 256098
That's so lame chief...
Binafsi simlaumu Van Persie. Amezeeka sasa, anatafuta green pasture. Na mbaya zaidi hata uhakika wa namba msimu ujao pale united hatakuwa nao.
Kama kipaji kimekufa basi akatafute pesa. Kama aliweza kuondoka arsenal ambao wamemlea toka akiwa mdogo atashindwaje kuondoka united?

hyo ishu ya kwenda man city sio kweli, hyo picha alipiga wakati kaenda kumuona mwanae ambaye yupo academy ya man city
Tumebaki kuelezea historiya yetu wakati wengine wanaishi kwenye uhalisia
DDG tells his team mates "i will return to spain and sign for real madrid [Telegraph]
MANCHESTER UNITED is the only english club to win the club world cup
GGMU
![]()
Kanda Bongo man alikuwa anatesa kimuziki Afrika kwa miondoko ya kwassa kwassa. Ndio kilichobaki anga hizi.