Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nimepoteza muda wangu kuangalia timu ya kichovu Villa ikicheza.... hii timu sijui ilifikaje Final

Kulikuwa na bonge la mechi kati ya Ndada na JKT DTV walikuwa wanaonyesha lol

Ahhh!! Pole sana kuna game nyingine siyo za kubishana kabisa mm toka mwanzo nilijua miujiza itakuwa hamna ,ukicheki game 5 za Villa za mwishoni kwa kweli hawakuwa na ubabe mbele ya Arsenal.....
 
Ahhh!! Pole sana kuna game nyingine siyo za kubishana kabisa mm toka mwanzo nilijua miujiza itakuwa hamna ,ukicheki game 5 za Villa za mwishoni kwa kweli hawakuwa na ubabe mbele ya Arsenal.....

Si unajua sometimes tunaleta "ubishi ubishi" ili kunogesha jamvi huku tukiombea ngamia apite kwenye tundu la sindano, kama vile kaka yako anavyojipaga matumaini hewa.

Ila Villa wamesikitisha sana wamecheza kama timu ya second division vile... final ilikuwa ya upande mmoja tangia dakika ya kwanza.
 
My fav quotes of all time :

"You know, I think boring is 10 years without a title. That's very boring," Mourinho said.

"You support the club and you're waiting, waiting, waiting for so many years without a Premier League title, so that's very boring".

Hahaha Mourinho atakuwa alifeli mtihani wa hesabu chekechea. Tulikwenda miaka 9 bila kubeba kombe lolote sio 10.
 
DonDonald Welbeck alifanya jambo jema kuhama timu isiyo na uwezo wa kubeba kombe.
 
Hahaha Mourinho atakuwa alifeli mtihani wa hesabu chekechea. Tulikwenda miaka 9 bila kubeba kombe lolote sio 10.

Labda kajumuisha na msimu unaokuja .. ana uhakika ubingwa utarudi nyumbani baada ya kukosea njia kwa miaka 2 lol

DonDonald Welbeck alifanya jambo jema kuhama timu isiyo na uwezo wa kubeba kombe.

Msimu ujao kwenye dirisha la usajili la January Welbeck atakuwa anacheza timu moja na Yaya Sanogo na Chamakh ndani ya Crytstal Palace ... sasa utaona nani atakuwa anajuta
 
Labda kajumuisha na msimu unaokuja .. ana uhakika ubingwa utarudi nyumbani baada ya kukosea njia kwa miaka 2 lol

Ukitaka kujua future ya Manchester United angalia Liverpool.

Msimu ujao kwenye dirisha la usajili la January Welbeck atakuwa anacheza timu moja na Yaya Sanogo na Chamakh ndani ya Crytstal Palace ... sasa utaona nani atakuwa anajuta

LOL Welbeck anahitaji marekebisho kadhaa ataweza kuwa mzuri kwa Arsenal kuliko alivyokuwa kwa Manchester United: hopeful Keyword
 
LOL Welbeck anahitaji marekebisho kadhaa ataweza kuwa mzuri kwa Arsenal kuliko alivyokuwa kwa Manchester United: hopeful Keyword

Kiukweli kijana anajituma sana , anakuwa anawapeleka mabeki mchaka mchaka... Man Utd sijui kwanini walimuuza kwa bei ile ukichukulia wachezaji wa kingereza unauziwa hela nyingi

Ebana ulisema utakwenda kulicheki chama la old traford summer?
 
Siwezi wanacheza West Coast/ Midwest mwaka huu. Najaribu kuweka mipango nikawaone Chelsea wakija Maryland/Washington DC.
 
Siwezi wanacheza West Coast/ Midwest mwaka huu. Najaribu kuweka mipango nikawaone Chelsea wakija Maryland/Washington DC.

Hahaha fanya juu chini uende ukapate picha na The Special One... na umuombe amrithi Prof akistaafu msimu ujao
 
Thank you Rio Ferdinand for devoting 12 seasons of your career at Manchester United. Your persistance, your never give up attitude and ofcourse your talents that contributed to elevate United to unforgettable moments of triumph. Inspiring, provoking, the backbone in your prime and even beyond that you made sure that there was no easy way through. Delighted to have seen your career unfold here and good luck in the next chapter of your life.

Gratidue and appreciations from the entire Manchester United fanbase.

CGRztbSW8AIBa98.png
 
JONNY GABRIEL | Rio Ferdinand's retirement leaves Gianluigi Buffon as the only European footballer still playing who went to France '98.
 
LEGEND ARE BACK
Itakua tarehe 14 june magwiji wa manchester united watakapovaana na magwiji wa bayern munich katika uwanja wa old traford.
baadhi ya wachezaji wa manchester utd watakaokuwepo ni park, cole, Edwin van der Sar, Jaap Stam, Denis Irwin, Dwight Yorke wakiongozwa na Bryan Robson.
cant wait to see

images
 
FELLAINI | i said that di maria would be a good signing for any club as he is a greater player. I also said if i were him i would STAY at manutd.

seems i have been misquoted from telefoot
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom