Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Congratulations!!! £150Millions imewapatia 4th spot title. Next transfer window mkitumia £150 Million nyingine mtaweza kutetea 4th spot title next season. Hull City wanawapeleka puta hapa wakati huo huo Walcott kashatupia hat trick.

Leo hatuna presha na ushindi wacha Hullcity ashinde asishuke daraja...... Ningeshangaa kama usingekuja hapa .......lol .....hongera sana
 
Nyie mmetumia £ mil ngapi kuanzia 2004,kutetea ubingwa wenu?

mda mwngne unapita kama huwaoni vile, wamesahau kuwa wana miaka zaid ya kumi bila epl waulize wametumia shingapi, na management ilitaka timu iingie top four na suala la trophy ilikua ni baadaye
 
Mmesahau kuwa mna miaka zaidi ya kumi bila FA CUP? Mnataka tuwakumbushe? Inaelekea strategy zetu za kutumia pesa chache katika transfer so long tunahakikisha tunamaliza top four zinafanya linalotakiwa au sio? Next season mtatumia at least £ 60M nyingine kununua magarasa mengine. Hadi sasa mmeshatumia £ ngapi vile kwa DEPAY?
 
25, within hyo miaka kumi tuna uefa na epl 5, hvi nyie mna nini?
 
Mmesahau kuwa mna miaka zaidi ya kumi bila FA CUP? Mnataka tuwakumbushe? Inaelekea strategy zetu za kutumia pesa chache katika transfer so long tunahakikisha tunamaliza top four zinafanya linalotakiwa au sio? Next season mtatumia at least 60M nyingine kununua magarasa mengine. Hadi sasa mmeshatumia ngapi vile kwa DEPAY?

Hivi Fa nalo kombe kwako? hahhaahhahhhaaaa kilaza gani kama wew unafurahia timu yako kushika ka kombe ka kunywea uji? hivi mara ya mwisho kushinda UEFA ni mwaka gani ati?
 
25, within hyo miaka kumi tuna uefa na epl 5, hvi nyie mna nini?

Hawana chochote cha kushanga ata kale kakombe kao ka Fly Emirate pia wanapokonywa nyumbani kwao si aibu hii hawa vitoto vya wenga shida tupu
 
Hivi Fa nalo kombe kwako? hahhaahhahhhaaaa kilaza gani kama wew unafurahia timu yako kushika ka kombe ka kunywea uji? hivi mara ya mwisho kushinda UEFA ni mwaka gani ati?

hahahahaaa, hawa jamaa wananifurahisha walikaa miaka 9 wanajiandaa kubeba FA
 
Maneno ya mkosaji hayo. Hujui umuhimu wa FA CUP sio? utakuwa umeanza kufuatilia mpira wa nje jana jana wala sio juzi juzi. Tangu tukate ngebe za "how long since Arsenal lifted a trophy"? Mmekuja na wimbo mwingine wa FA CUP sio Kombe hahaha. Next season tutakata ngebe na kulift Premier League then muanze kulidharau nalo.. Naona Manywele Fellaini karambishwa kadi nyekundu hapa.
 
hahahahaaa, hawa jamaa wananifurahisha walikaa miaka 9 wanajiandaa kubeba FA[/QUOT cha kushangaza The invisible hawana hata Uefa? maneno mengi bora kubishana na shabiki wa liverpool sio hawa Arse8
 
Sasa HC mkishindwa tena kutumia nafasi hii ya Fellain basi tena hambebeki hata kwa mbeleko la chuma
 
Maneno ya mkosaji hayo. Hujui umuhimu wa FA CUP sio? utakuwa umeanza kufuatilia mpira wa nje jana jana wala sio juzi juzi. Tangu tukate ngebe za "how long since Arsenal lifted a trophy"? Mmekuja na wimbo mwingine wa FA CUP sio Kombe hahaha. Next season tutakata ngebe na kulift Premier League then muanze kulidharau nalo.. Naona Manywele Fellaini karambishwa kadi nyekundu hapa.

wewe bado mtoto sana Cesc alipoenda barca akanyanyua ndoo, Rvp kanyanyua ndoo, Nasri kanyanyua ndoo mliishia kuwaita money graber ila mbona misimu yote mko fit lakini Epl trophy hakuna mwaka wa 11 na Uefa mnaongoza kwa kushiriki lakini Empty mnaishia kujitapa ooh sisi nyie nini ata top scorer uefa hamna why?
 
25, within hyo miaka kumi tuna uefa na epl 5, hvi nyie mna nini?

Siku hizi mmekuwa kama mabaharia au Wauza unga wa zamani. "Enzi zetu/zangu, enzi zetu" mtazowea tu.

hahahahaaa, hawa jamaa wananifurahisha walikaa miaka 9 wanajiandaa kubeba FA

Juzi niliona unashangilia kombe la PL U-21 hapa, vipi hili nalo ni kombe la kushangilia mbele ya kadamnasi?
 
Siku hizi mmekuwa kama mabaharia au Wauza unga wa zamani. "Enzi zetu/zangu, enzi zetu" mtazowea tu.

Juzi niliona unashangilia kombe la PL U-21 hapa, vipi hili nalo ni kombe la kushangilia mbele ya kadamnasi?

madogo lazima washangilie bana we ulitaka wakae kimya wakati wamejitutumua? mtaendelea kugombania nafasi ya uefa miaka yote ila no Epl no Uefa katika Era hii poleni sana
 
DonDonald naona agent wenu Steve Bruce anazamisha timu nyingine. Sijui safari hii mtampa timu gani?
 
Siku hizi mmekuwa kama mabaharia au Wauza unga wa zamani. "Enzi zetu/zangu, enzi zetu" mtazowea tu.

Juzi niliona unashangilia kombe la PL U-21 hapa, vipi hili nalo ni kombe la kushangilia mbele ya kadamnasi?

Kwani wale ni arsenal waliokua wanacheza?
 
rubaman nashukuru umetusindikiza kuiaga jioni ya leo, thats how we supposed 2be, tukutane msimu ujao!
#chaooh
 
Back
Top Bottom