Peasant
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 3,949
- 699

zz bluzz mmejaa himu, mmeitwa?
Usijali sana, hata mabingwa walipata sare hapo Villa Park.

zz bluzz mmejaa himu, mmeitwa?

Dakika tano za majeruhi ni nyingi mno!...Hapa ndipo Man U unajua wanabebwa!...
Wanabahati sana hawa wajinga, leo walikuwa wanalowekwa...araaaa!
Kwanini Ashley Young kapigwa yellow kwa kushangilia bao na mashabiki, lakini Vidic akupewa yellow kwa kitendo sawa na cha Young??!!Wanabahati sana hawa wajinga, leo walikuwa wanalowekwa...araaaa!
Mkuu kwani hujui kwamba Fergie ndio mtume wa makocha na marefarii wote wale wazawa wa Kingdom? kuanzia akina Big Sam, Hodgson, Holloway,Bruce etc, marefa Clattenburg, Halsey,Mike Dean etc wote hawa wanamlamba nyayo Fergie.Kwanini Ashley Young kapigwa yellow kwa kushangilia bao na mashabiki, lakini Vidic akupewa yellow kwa kitendo sawa na cha Young??!!
Spot-on!Mkuu kwani hujui kwamba Fergie ndio mtume wa makocha na marefarii wote wale wazawa wa Kingdom? kuanzia akina Big Sam, Hodgson, Holloway,Bruce etc, marefa Clattenburg, Halsey,Mike Dean etc wote hawa wanamlamba nyayo Fergie.
Angalia leo Wes Brown kwenye ile penalti alitakiwa apewe kadi nyekundu kwa vile ni mtu wa mwisho, Vidic naye alikuwa aende nje kwa 2nd yellow card kwa kushangilia na wapenzi lakini Mike Dean aliogopa kumpeleka nje mchezaji yoyote yule wa Utd kwa kumhofia Sir Alex.
Hivi kama Manure kila siku twabebwa na nyie mwalitambua hilo, asa y kila uchwao mwalalamika wajameni?, tulieni basi tuchakachue mechi hzo thn.
Hahaha mkuu umenichekesha sana, unajua hakuna siku ambayo Man Utd imeshinda ama imetoka nyuma na kupata draw bila kuwepo na manung'uniko ebo get over it, kila timu inapata favors inategemea unatumiaje hizo favors.
Wacha (eni) uongo Manure hawakubebwa leo ingawa mpira wao dakika 80 ulikuwa sawa na chandimu.
Maneno hayo mwambie kweli na peasant maana ndio waliosema tumependelewa.
Maneno hayo mwambie kweli na peasant maana ndio waliosema tumependelewa.